Kesi ya Mbowe:Shahidi Mwanajeshi akana kukamatwa

Shahidi wa 12 upande wa Jamhuri Luteni Denis Urio katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu amekataa kuwa aliwahi kukamatwa na kuhojiwa katika kituo chochote cha Polisi licha ya washtakiwa kudai waliwahi kumuona.

Hata hivyo shahidi huyo baada ya kufafanua baadhi ya hoja za ushahidi alioutoa mahakamani hapo tayari kwa ajili ya shahidi anaefata ambaye atakuwa shahidi namba 13 upande wa jamhuri.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii