Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema inafuatilia kwa umakini makala iliyochapishwa na kurushwa na chombo cha habari cha kimataifa CNN, yenye maudhui yanayohusishwa na maandamano ya Siku ya Uchaguzi wa Oktoba 29.
Aidha katika taarifa iliyotolewa leo Novemba 21 mwaka huu imebainisha kuwa Serikali inachambua na kuhakiki maudhui yaliyomo katika makala hiyo na tamko la Serikali kuja na majibu baada ya kukamilika kwa uhakika huo.
#Familiamoja #AhsantekwaTime