Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi . . .
Edgar Lungu alizaliwa Novemba 11,1956 katika mji wa Ndola mkoa wa viwanda wa Copperbelt nchini Zambia eneo ambalo lina historia ndefu ya kisiasa na kiuchumi kutokana na uchimbaji madini, hasa shaba. . . .
Zaidi ya Warundi milioni 6 hii leo Juni 5 wanaamikia katika vituo zaidi ya 14,000 vya kupigia kura, ili kuwachagua wabunge wao na madiwani wa manispaa, katika hali mbaya ya mazingira ya nchi iliokumbw . . .
Mgombea wa kihafidhina Karol Nawrocki ameshinda uchaguzi wa urais nchini Poland kwa 50.89% ya kura dhidi ya meya wa kiliberali wa Warsaw, Rafal Trzaskowski, kulingana na matokeo rasmi yaliyotolewa leo . . .
Rufaa dhidi ya adhabu ya kifungo cha maisha gerezani iliyotolewa kwa washtakiwa wanne waliokutwa na hatia kwenye kosa la kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti Mkazi w . . .
Mahakama ya Tanzania imetangaza kuwa kesi mbili za jinai namba 8606/2025 na 8607/2025 kati ya Jamhuri na Tundu Antiphas Lissu zitatajwa na kusikilizwa leo Jumatatu Juni 2 mubashara katika Mahakama ya . . .
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimewaalika wananchi wote, mashirika ya kiraia, Jumuiya za Kimataifa na Kitaifa kuhudhuria na kufuatilia kwa karibu mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mw . . .
Chama Cha Mapinduzi kimesema kitahakikisha kinayafanyia kazi maelekezo yote yalioelekezwa na Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan katika kupitisha wagombea udiwani, Uwakilishi na Ubunge.Pia cham . . .
Ilani mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025 inalenga kujenga uchumi jumuishi unaowafikia Watanzania wote kuchochea maendeleo ya kisasa, kupunguza umaskini na kuimarisha ustawi wa . . .
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani yake mpya ya uchaguzi, imeahidi mageuzi makubwa ya huduma ya maji nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo ikiwa ni pamoja na kuimarisha upatikanaji wa maji . . .
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche amepeleka kampeni ya 'No reforms, No election' kwa wafugaji wa jamii ya Kimaasai akitumia uwekezaji kwenye viwanda vya kusin . . .
Kiongozi wa upinzani nchini Misri, Ahmed al-Tantawi, ameachiliwa huru baada ya kufungwa jela kwa mwaka mmoja kutokana na makosa ya ukiukwaji wa sheria za uchaguzi kutokana na taarifa iliyotolewa na Wa . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) limeihakikishia Serikali ya Tanzania ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa litaendelea kushirikiana nayo kat . . .
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila ameonekana kwa mara ya kwanza tangu kuondolewa kinga ya kutoshtakiwa na seneti huku akionyesha nia ya kujitokeza tena kisiasa Kabila am . . .
TUME ya Maadili ya Viongozi wa Umma imewataka wahariri na waandishi wa habari kuendelea kushirikiana nayo katika kuwaibua viongozi wanaokiuka maadili ili kuimarisha uwajibikaji na utawala bora nchini. . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan Ishiba Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea . . .
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinatarajia kuanza ziara rasmi kuanzia tarehe 3 Juni mwaka huu katika jiji la Mwanza. Ziara hiyo inalenga kuwakaribisha wanachama wapya, kutambulisha safu ya . . .
Maelfu ya watu wenye njaa kali wamevamia ghala la misaada katikati mwa Ukanda wa Gaza tukio lililoshuhudiwa kupitia shirika la habari la Reuters. Katika vurugu hizo milio ya risasi ilisika huku . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefungua mkutano mkuu wa CCM unaofanyika Dodoma na kueleza kuwa agenda kubwa itakuwa ni kuipiti . . .
Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za Wanafunzi kutoka China hususani wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa Taifa. T . . .
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson ametoa onyo kali kwa wabunge akiwataka kuzingatia matakwa ya Katiba, sheria na kanuni za Bunge wakati wa kujadili hoja mbalimbali kwa . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameendelea na ziara yake Toyko nchini Japan kwa kuwashawishi Wawekezaji na Wafanyabiashara wakubwa wa Japan kuja kuwekeza kwenye sekta ya kilimo, afya, u . . .
Rais William Ruto ameomba msamaha kwa vijana na mataifa jirani waTanzania na Uganda katika hatua inayotafasiriwa kuwa ilitokana na malumbano makubwa ambayo yamedumu mitandaoni kwa wiki mbili sas . . .
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Mei 28, 2025, ameweka jiwe la msingi la jengo jipya la Makao Makuu ya Chama Cha Mapindu . . .
Utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani umeyataka mashirika ya Serikali kufuta mikataba na Chuo Kikuu cha Harvard yenye thamani ya kiasi cha dola milioni 100. Hatua hiyo ya Trump ni sehemu ya mapamb . . .