logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Rais Samia aahidi sapoti zaidi kwa Tembo Warriors

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ya soka ya Walemavu ‘Tembo Warriors’ kwa kufuzu k . . .

Muziki
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Harmonize azidi kupamba moto kwenye ulimwengu wa muziki

WALISEMA muziki ni vita kutokana na kila msanii kujipambania kutoboa na kujitangaza ndani na nje ya Afrika.Harmonize alitoa ya moyoni vita n . . .

Muziki
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Rayvanny ameupiga mwingi 2021

MWAKA 2021 huo unakaribia kwisha. zimebaki siku 18 kuuambia kwaheri.Wakati watu wataukumbuka kwa mambo mbalimbali yakiwemo ya kuhuzunisha na . . .

SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Namungo, Aussems sasa wanayajenga

NAMUNGO ni miongoni mwa timu inayopitia wakati mgumu kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na kushindwa kupata matokeo mazuri huku ikielezwa kuwa ma . . .

SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Simba yashusha kocha mpya

ACHANA na furaha waliyokuwa nayo Simba baada ya kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, Uongozi wa timu hiyo . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Mshukiwa wa mauaji ya mwandishi wa habari akamatwa

Mwanaume mmoja raia wa Saudi Arabia anayeshukiwa kuhusika na mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi amekamatwa nchini Ufaransa, ripoti zinase . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Siku za kufanya kazi zapunguzwa UAE

Umoja wa falme za kiarabu umepunguza siku za kufanya kazi hadi siku nne na nusu.Wikendi kwa wafanyakazi itakuwa inaanza jumamosi hadi jumapi . . .

SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • December 7, 2021

MSIMAMO WA LIGI KUU YA ENGLAND BAADA YA MECHI 15.

Msimamo  wa ligi kuu ya England baada ya mechi 15.  Huku timu tatu Manchester City, Liverpool na Chelsea zikiwa na nafasi kub . . .

Afrika Mashariki
  • Na Suzuki
  • December 7, 2021

MGOMBEA URAIS NCHINI KENYA AMEAHIDI MIKOPO KWA WATAKAOOANA.

Mtia nia wa kugombea urais nchini Kenya ameahidi kutoa mikopo yenye thamani ya kati ya TZS milioni 10 hadi TZS milioni 20 kwa wanandoa wapya . . .

Burudani
  • Na Suzuki
  • December 7, 2021

DRAKE AJIONDOA KUWANIA TUZO ZA GRAMMY 2022.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka mtandao wa Variety, rappa Drake amejiondoa kuwania tuzo za Grammy 2022.Mmoja wa wawakilishi wa tuzo hizo amefung . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Tanzania yafunga kambi ya wakimbizi wa Burundi.

Kambi ya Mtendeli, moja ya kambi tatu za Tanzania zinazohifadhi wakimbizi wa Burundi imefungwa kabisa, baada ya zaidi  ya wakimbizi elf . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Ommy Dimpoz awabwaga Alikiba, Diamond Platnumz, Harmonize Rayvanny tuzo za AFRIMMA

Mwimbaji wa muziki wa Bongo Flebva @ommydimpoz ameipeperusha vyema bendera ya Tanzania baada ya usiku wa kuamkia leo kuibuka mshin . . .

Matukio
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Ghorofa laporomokea nyumba Goba, wanne wafariki - Dar es salaam

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema bado Jeshi la Polisi, Zimamoto na Vyombo vingine vya Ulinzi mpaka sasa vipo katika eneo la Gob . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Sasii pilato Kariakoo Derby - NBC Tanzania Premier League 2021/2022

Wakati joto la pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya vinara Yanga dhidi ya Simba likizidi kupanda mwamuzi, Herry Sasii amepewa jukumu la . . .

Afrika
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Ramaphosa awasihi wakaazi nchini Afrika kusini kupata chanjo ya COVID-19

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika kusini alisema nchi hiyo sasa ina vifaa vya kutosha vya chanjo, chanjo ni muhimu kwa ajili ya kufufua uchumi . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Marekani na washirika wake wanalaani serikali ya Ethiopia kuwashikilia wakaazi kwa misingi ya kabila

Taarifa hiyo ya pamoja iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje Marekani ilisema Australia, Canada, Denmark, Uholanzi na Uingereza waliungana n . . .

JEMBEKA 20
  • Na Shilingcaizar
  • December 6, 2021

JEMBEKA 20 COUNTDOWN DECEMBER.5.2021

. . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Mkuu wa Gereza Afungwa kwa Kuiba Fedha za Mfungwa - Rwanda

MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela aliyekuwa mkuu wa gereza kuu la Kigali kwa kuiba fedha kutoka katika akaunti . . .

Mitindo | Urembo
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Miss Tanzania apata viza Kushiriki Miss World

Miss Tanzania namba mbili, Juliana Rugumisa ambaye aliteuliwa kushiriki Miss World baada ya aliyeshika nafasi ya kwanza, Rose Manfere kuengu . . .

Mahakamani
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Mahakama yatupilia mbali ombi la kukamatwa shahidi kesi ya Sabaya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imetupilia mbali ombi la kutoa hati ya kukamatwa shahidi wa 10 wa Jamhuri, Francis Mroso baada ya ombi hilo . . .

Mahakamani
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Kesi inayomkabiri Mbowe na wenzake kuanza na kiporo cha mapingamizi

Dar es Salaam. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wanaokabiliwa na mashtaka ya ugaid . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Olaf Scholz wa Ujerumani ateua baraza la mawaziri la kwanza lenya usawa wa kijinsia

Usawa ni muhimu kwangu na ndio maana kati ya mawaziri 16 kutakuwa na wanaume wanane na wanawake wanane alisema Scholz&nb . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Polisi wa Sudan wafyatua mabomu ya kutoa machozi kwa waandamanaji

Waandamanaji hao waliandamana kutoka wilaya mbalimbali za mji mkuu, wengi wakiwa wamebeba bendera za taifa na wakiimba “Hapana kwa utawala . . .

Tuzo
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Benki Ya CRDB Yaibuka Mshindi Wa Jumla Tuzo Za NBAA

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo akipokea tuzo ya mshindi wa jumla kwa uwasilishaji bora wa Taarifa za Fedha Nchini . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Ajinyonga Mpaka Kufa Kwa Kutotajwa Jina Lake Wakati Wa Misa Ya Shukrani Kanisani

MKAZI wa mtaa wa Kanisani B uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe anaefahamika kwa jina la Raban Razalo (48) amefariki kwa kujinyonga na way . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Waliokufa Baada Ya Basi Kutumbukia Mtoni Wafika 32

Idadi ya watu waliopoteza maisha ya baada ya basi walilokuwa wakisafiria, kusombwa na maji katika Mto Enziu, Ngune, Kaunti ya Kitui nchini K . . .

Kilimo
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Sababu ya Mwanri Kuamrisha Shamba Livurugwe - Geita

Balozi wa zao la pamba nchini Aggrey Mwanri, ameamrisha shamba la Jeremia Kisumo na Laher Robert wakazi wa Mshinde, Kata ya Bung’wangoko, . . .

Siasa
  • Na Suzuki
  • December 6, 2021

SERIKALI KUAINISHA CHANGAMOTO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Amesema Serikali Itaendelea Na Utaratibu Wa Kuzianisha Changamoto Zot . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 6, 2021

Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Brazil.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akimuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 6, 2021

Msukuma atunukiwa Udaktari wa Heshima.

Mbunge wa Geita mjini, Joseph Kasheku maarufu kama "Msukuma" leo ametunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi (Honorus Causa in P . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 5, 2021

Ufunguzi rasmi Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akifungua rasmi Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New  Bagamoyo (Mo . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

Papa Francis asema "ustaarabu umwekwenda mrama" kwa kuwapuuza wahamiaji - Lesbos

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis leo amekitembelea kwa mara nyingine kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki eneo ambalo lilikuwa k . . .

Mastaa
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

Maisha ya Msanii Harmonize kutoka WCB na lebo yake KONDE GANG

 Ilikuwa Kuelekea mwishoni mwa 2019 Harmonize aliamua kuondoka kwenye lebo ya WCB ya Diamond Platnumz akiwa ni msanii wa pili kufa . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

Simba yatinga makundi Kombe la Shirikisho Afrika

KLABU ya Simba imefanikiwa kuingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa mabao 2-1 na Red Arrows katika Uwanja wa Ta . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

Newcastle United yaonyesha nia kumtaka Jesse Lingard

Newcastle United imeanza kuonesha nia ya kumtaka kiungo wa Uingereza Jesse Lingard katika dirisha dogo la Januari, mchezaji huyo mwenye miak . . .

Makala
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

VIONGOZI WAKUBWA WALIOFARIKI DUNIANI WAKIWA MADARAKANI - AFRIKA

TULIKUPENDA, Tunakupenda na yote uliyofanya kwa nchi yetu vitaishi mioyoni mwetu, ni kauli za watanzania wengi baada ya Makamu wa Rais S . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

TRUTH SOCIAL YA DONALD TRUMP KUANZA MAPEMA 2022

Taasisi ya habari na teknolojia ya Trump inatarajia kuzindua programu hiyo ya mitandao ya kijamii uitwayo Truth Social mapema mwaka ujao.Hay . . .

Utalii
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

JE, WAJUA MAAJABU KUMI NA TATU YA MNYAMA TEMBO

1. Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi2. Tembo ana uzito . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

WAJASILIAMALI WAHIMIZWA KUTENGENEZA BIDHAA ZENYE UBORA ILI KULINDA SOKO

Na Mwandishi Maalum, MwanzaWajsasiliamali wametakiwa kuendelea kuboresha bidhaa zao ili kudhibiti soko la nchi za Jumuiya ya Afrika Masharik . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

Aishtaki kampuni iliyomuajiri kisa rasta zake - Marekani

Mmarekani mweusi aitwaye, Jeffrey Thornton ameishtaki Kampuni iliyomuajiri ya Encore Group, kwa kumfanyia unyanyasaji baada ya kumwambia aka . . .

Kurasa 165 ya 171

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category