JE, WAJUA MAAJABU KUMI NA TATU YA MNYAMA TEMBO

1. Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi

2. Tembo ana uzito wa tani 7
3.Tembo jike hubeba mimba miezi 24 au miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
6. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele
7. Umri wake wa kuishi ni miaka 60

8. Uume wa tembo una kilo 27 ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu
9.Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12, masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ileraundi ya kwanza
10.Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
11.Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano (Kidumu cha lita tano)
12.Tembo anategemea sana uwezo wake wa kunusa ilikuweza kutambua mazingira aliyopo na vitu vinavyomzunguka Sambamba na harufu tembo pia ana uwezo mkubwa wa kusikia kupitia masikio yake makubwa 
13.Tembo hana uwezo mkubwa wa kutambua vitu kwa kuona. hutegemea zaidi pua na masikio kuweza kufanikisha shughuli zake. kutokana na hali hiyo mara nyingi ukiwa porini unashauriwa kumpiga picha tembo BILA ya kutumia flash hii inatokana
kwamba endapo utatumia flash wakati unampiga picha tembo atajenga hisia ya kutoelewa nini kimetokea. kwa kifupi hataweza kutofautisha kama ni kitu cha kawaida au ni hatari. katika mazingira haya, huanza ku-charge kuelekea
upande ule ambao mwanga umetokea

JE.., NI NAMBA NGAPI IMEKUKOSHA, UNADHANI KWANINI.. ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI 

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii