Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akifungua rasmi Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge) jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 leo tarehe 05 Desemba, 2021.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe