Mwimbaji wa muziki wa Bongo Flebva @ommydimpoz ameipeperusha vyema bendera ya Tanzania baada ya usiku wa kuamkia leo kuibuka mshindi wa kipengele cha Msanii bora wa Kiume Afrika Mashariki katika tuzo za AFRIMMA 2019. ambapo katika kipengele hicho waliokuwa wanakiwani ni:-
Best Male East Africa
Best Female East Africa
1. Vinka — Uganda
2. Victoria Kimani — Kenya
3. Vanessa Mdee — Tanzania
4. Akothee — Kenya
5. Nandy — Tanzania
6. Sheebah Karungi — Uganda
7. Fena Gitu (Fenamenal) — Kenya
8. Knowles Butera — Rwanda
9. Rema Namakula — Uganda
10. Juliana Kanyomozi — Uganda