MSIMAMO WA LIGI KUU YA ENGLAND BAADA YA MECHI 15.

Msimamo  wa ligi kuu ya England baada ya mechi 15.  Huku timu tatu Manchester City, Liverpool na Chelsea zikiwa na nafasi kubwa ya kumaliza ndani ya nne bora. zikifuatiwa na Manchester United, West Ham, Tottenham na Arsenal zinazo wania nafasi hizo.





Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii