Msukuma atunukiwa Udaktari wa Heshima.

Mbunge wa Geita mjini, Joseph Kasheku maarufu kama "Msukuma" leo ametunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi (Honorus Causa in Politics and Leadership) na Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani, kama sehemu ya kutambua mchango wake kwenye siasa na uongozi nchini. Sherehe za kutunukiwa udaktari huo wa heshima zimefanyika mjini Dododma.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii