logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Afya
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

WATATU WAZALIWA MKESHA WA KRISMASI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SHINYANGA

Jumla ya watoto watatu wa kiume wamezaliwa katika mkesha wa Krismasi katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga wakiwa salama wenye afya . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

TAARIFA YA KUFARIKI KWA ALIYEKUWA ASKOFU MKUU WA KANISA LA TAG

. . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Rais Biden apandisha hadhi ya uongozi wa Marekani duniani

Rais Joe Biden ameingia madarakani wakati hadhi ya Marekani ulimwenguni ilifikia rekodi ya chini.Katika nchi 60 na maeneo yaliyofanyiwa ukus . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Bethlehem yasheherekea Krismas licha ya masharti ya COVID-19

Licha ya mwaka wa pili wa kuwepo kwa masharti ya kusafiri kwa sababu ya COVID -19, mji wa Bethlehem, eneo ambako alizaliwa Yesu, lilifufua s . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Tanzania yatangaza masharti mapya ya Covid-19 kwa wasafiri wa kimataifa

Tanzania imetoa masharti mapya ya usafiri kwa wasafiri wanaoingia na kutoka nchini humo kama hatua ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya Cov . . .

Habari
  • Na Jembefmtz
  • December 26, 2021

Ujumbe wa Krisimasi

Watanzania wameungana na Wakristu wengine duniani kusherehekea sikukuu ya Krisimasi huku katika ibada kwenye makanisa mbalimbali nchini ujum . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 23, 2021

TEUZI LEO DESEMBA 23.2021

. . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 23, 2021

MBUNGE AFICHA MAGONGO YA MWENZAKE NCHINI KENYA

Katika hali ya kushanganza Mbunge mmoja wa jimbo la Embakasi Mashariki nchini Kenya aliyefahamika kwa jina Babu Owino amezua taharuki bungen . . .

Matukio
  • Na Suzuki
  • December 22, 2021

MWANAFUNZI AFIA KWA BODA BODA

Jeshi la Polisi nchini Kenya linamshikilia Dereva Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari T . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 22, 2021

MWILI WA MUHITIMU ALIYEUWAWA SUA MOROGORO WAAGWA.

Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)  . . .

Matukio
  • Na Suzuki
  • December 22, 2021

Wabunge wachapana makonde bungeni Ghana.

Wabunge wachapana makonde live Bungeni baada ya kutokea ubishani wakati wa mjadala juu ya Sheria ya tozo ya Miamala ya KidijitaliU . . .

Afrika
  • Na Suzuki
  • December 22, 2021

Uchaguzi wa rais nchini Libya matatani

Tume ya uchaguzi nchini Libya imeagiza kuvunjwa kwa kamati za uchaguzi nchini humo na kutilia mashaka uwezekano wa kuandaliwa kwa uchaguzi w . . .

Kimataifa
  • Na Gsengo
  • December 21, 2021

WATU 90 WAFARIKI BAADA YA ROLI LA MAFUTA KULIPUKA HAITI.

Naibu meya wa mji Cap-Haitien, nchini Haiti Patrick Almonor amesema idadi ya watu waliokufa baada ya lori la mafuta kulipuka wiki iliyopita . . .

Kitaifa
  • Na Gsengo
  • December 21, 2021

ZAIDI YA WATU WAZIMA ELFU 15 HALMASHAURI YA IRINGA HAWAJUI KUSOMA NA KUANDIKA

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akiongea na wazazi na wanafunzi juu ya umuhimu wa kujua kusoma na kuandikaMkuu wa Wilaya ya Iri . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 20, 2021

Trafiki wawapasomo Bodaboda Dar.

Madereva Bodaboda na Bajaji jijini Dar es Salaam, wametakiwa kujiamini na kutambua kuwa wana haki ya kujitafutia riziki kwa njia h . . .

Habari
  • Na Suzuki
  • December 20, 2021

Miaka 20 jela kwa kusafirisha meno ya tembo.

Mahakama ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro imemhukumu kwenda jela miaka 20 Abdallah Salehe (23) mkazi wa Kisiwani kwa kosa la kukamatwa n . . .

Afrika Mashariki
  • Na Suzuki
  • December 18, 2021

Picha za mtoto Mdogo Akiwasaidia Kazi Maafisa wa Trafiki Zawasisimua Wakenya

Picha za mvulana mdogo Mkenya aliyevalia mavazi ya polisi, akiwa na bunduki bandia pamoja na pingu za plastiki, zimevuma sana mitandaoni Mvu . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • December 18, 2021

Watu 12 Pakistan wamepoteza maisha kutokana na mlipuko wa gesi

Mlipuko mkubwa wa gesi uliotokea leo kwenye mfumo wa majitaka katika mji wa Shershah kusini mwa Pakistan umewauwa watu wasiopungua 12 na kuj . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 18, 2021

SERIKALI YATOA TAHADHARI UVIKO-19.

Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kuzingatia kujikinga na Uviko-19 na kwamba ugonjwa huo bado upo hivyo huenda m . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jacobmlaytz
  • December 18, 2021

VINARA WA MAGOLI KWA MWAKA

Wachezaji waliofunga magoli mengi ndani ya mwaka mmoja.91 Messi 2012 (Barcelona)69 Ronaldo 2013 (Real Madrid)69 Lewandowski 2021 (Bayern)63 . . .

Kitaifa
  • Na Gsengo
  • December 17, 2021

DC MOYO: HAJARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA MADARASA TARAFA YA IDODI,ISIMAN NA PAWAGA

 Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akiwa anakagua miradi ya majengo ya madarasa kwa ajili ya wanafunzi wanaotarajiwa kuingia . . .

Kitaifa
  • Na Gsengo
  • December 17, 2021

CHANJO, LISHE NA AFYA MAZINGIRA NDIYO INAIBEBA SEHEMU KUBWA YA SEKTA YA AFYA NCHINI - DKT. GWAJIMA

Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, wakati akifunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Afya nchi . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • December 17, 2021

Mtoto aliyezikwa aonekana, kaburi lake lafukuliwa

Mtoto Leonard Morisha (11), mkazi wa Kijiji cha Ngemo, Mbogwe mkoani Geita, aliyefariki dunia na kuzikwa Juni 27, 2017, anadaiwa kufufuka ba . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Gsengo
  • December 17, 2021

SHIRIKA LA CIAT, TALIRI WAKAMILISHA UTAFITI WA MALISHO YA MIFUGO

Mwakilishi wa Shirika la kimataifa la Utafiti la CIAT, Dkt. An Notenbaert (katikati) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Dkt. Vincent Anney . . .

Kitaifa
  • Na Gsengo
  • December 17, 2021

Mbarawa ‘avurugwa’ Mradi Wa Bil 11/-

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amemtaka mhandisi wa Jengo la abiria katika Uwanja wa ndege wa Mwanza kufika mara moja k . . .

SOKA
  • Na Suzuki
  • December 16, 2021

WANANCHI WAMREJESHA EDNA LEMA.

Uongozi wa Yanga umemrejesha aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Wanawake ya Yanga Princes, Edna Lema ili aendelee kukinoa kikosi hicho.Edna ali . . .

SOKA
  • Na Suzuki
  • December 15, 2021

AGUERO ATUNDIKA DALUGA.

Mshambuliaji wa Barcelona na nyota wa zamani wa Manchester City, Sergio Agüero (33) ametangaza rasmi kustaafu Soka kutoka na maradhi ya moy . . .

Top Story
  • Na Jacobmlaytz
  • December 14, 2021

Mashindano ya watu wenye ulemavu wa Akili na Usonji kufanyika Mwanza Kitaifa

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mh. Hassan Masalah amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza katika ufunguzi wa 14 Michuano ya Watu wenye Ulemavu wa A . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 14, 2021

Ajali ya Iringa Waliofariki wafika kumi.

Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali iliyotokea jana katika eneo la Lungumba Kata ya Mahenge karibu na mlima Kitonga mkoani Iringa imeonge . . .

Kitaifa
  • Na Gsengo
  • December 14, 2021

Wizara ya Afya Tanzania yaanzisha mfumo wa kukusanya maoni ili kuboresha huduma zake.

Na.WAMJW....DODOMA 14/12/2021Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Dorothy Gwajima ameanzisha utekelezaji wa mfumo . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jacobmlaytz
  • December 13, 2021

AGUERO KUTANGAZA KUSTAAFU RASMI

Sergio Aguero anatarajiwa kutangaza kustaafu soka Rasmi Jumatano hii ikiwa ni miezi chini ya 6 tangu ajiunge na Barcelona akitokea Mancheste . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

RUFAA YA SABAYA YAPIGWA KALENDA.

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha imepanga kuanzia Februari 14, 2022 kuanza  kusikiliza rufaa iliyofunguliwa na aliyekuwa Mkuu w . . .

SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

Sasa Manchester United uso kwa uso na Ateletico Madrid.

Droo ya ligi ya mabingwa hatua ya 16 Bora Baada ya Droo kurudiwa Baada ya matatizo ya Ufundi.Mechi za mkondo wa kwanza zitafanyika mwezi wa . . .

SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

DROO YA HATUA YA 16 KURUDIWA.

UEFA imesema droo hiyo itachezeshwa upya baada ya matatizo ya kiufundi kutokea katika droo iliyochezeshwa awaliMatatizo hayo yalipelekea Man . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

MOTO WA JPM HAUTAZIMIKA.

"Leo tunashiriki kama wabia kwenye uchimbaji wa rasilimali zetu muhimu na adhimu (mkadini) kwa ajili ya kuliletea maendeleo Taifa letu. Tuna . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

Msigwa asema kilichotokea nyumbani kwa Polepole hakikubaliki.

Anaandika Peter Msigwa baada ya Humphrey Polepole kuvamiwa na wasiojulikana nyumbani kwake Dodoma, "Kilichotokea nyumbani kwa polepole . . .

Afrika
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

RAIS RAMAPHOSA AKUTWA NA MAAMBUKIZI YA UVIKO19

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, anaendelea na matibabu huku majukumu akiyaacha kwa Nai . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

hafla ya Utiaji saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini.

Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma, ikitumbuiza katika hafla ya Utiaji saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini.Mgeni . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 12, 2021

Samia ashangazwa na askari aliyesifia gongo

Rais Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na kitendo cha askari polisi aliyevalia sare ya jeshi hilo akiisifu gongo.Akizungumza leo wakati wa uf . . .

SOKA
  • Na Suzuki
  • December 11, 2021

ETO'O RAIS MPYA WA SOKA CAMEROON

Mshambuliaji wa zamani wa Barcelona, Inter Milan na Real Madrid, Samuel Eto'o amechaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECA . . .

Kurasa 164 ya 172

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category