Mashindano ya watu wenye ulemavu wa Akili na Usonji kufanyika Mwanza Kitaifa

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mh. Hassan Masalah amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza katika ufunguzi wa 14 Michuano ya Watu wenye Ulemavu wa Akili na Usonji Kitaifa inayofanyika Jijini Mwanza kuanzia 14 Dec 2021/ 17 Dec 2021.


Katika michuano hiyo jumla ya michezo mitatu itashindaniwa ambayo ni Soka, Riadha na Mpira wa Wavu.

Mchezo wa riadha utafanyika katika Uwanja wa Ccm Kirumba, Soka na Mpira wa Wavu Uwanja wa Shule ya Secondary Bwiru na Jumla ya Mikoa 28 ya kimichezo kutoka Tanzania Bara na Visiwani inashiriki katika Michuano hii.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii