AGUERO ATUNDIKA DALUGA.

Mshambuliaji wa Barcelona na nyota wa zamani wa Manchester City, Sergio Agüero (33) ametangaza rasmi kustaafu Soka kutoka na maradhi ya moyo anayokabiliana nayo.Agüero (33) ametangaza rasmi kustaafu Soka kutoka na maradhi ya moyo anayokabiliana nayo.

“Afya yangu ni muhimu zaidi, wataalamu wa afya wameniambia ni bora kuacha kucheza soka hivyo sasa hivi naondoka Barcelona na kustaafu rasmi kwenye soka,” amesema Aguero

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii