Sergio Aguero anatarajiwa kutangaza kustaafu soka Rasmi Jumatano hii ikiwa ni miezi chini ya 6 tangu ajiunge na Barcelona akitokea Manchester City.
Mechi ya mwisho ya Aguero mwenye umri wa miaka 30 ilikuwa October 30 na alifanyiwa mabadiliko akikimbizwa hospital kutokana na ugonjwa wa Moyo.
Aguero atamaliza soka lake akiwa na rekodi ya kucheza mechi 786 na akifunga magoli 427.