UEFA imesema droo hiyo itachezeshwa upya baada ya matatizo ya kiufundi kutokea katika droo iliyochezeshwa awali
Matatizo hayo yalipelekea Man. Utd kupangwa dhidi ya Villarreal wakati timu hizo zimetoka kundi moja. Pia, Man. Utd kuondolewa kama moja ya timu zinazoweza kukutana na Atletico Madrid
Droo hiyo inatarajiwa kurudiwa majira ya saa 11:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki