WANANCHI WAMREJESHA EDNA LEMA.

Uongozi wa Yanga umemrejesha aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Wanawake ya Yanga Princes, Edna Lema ili aendelee kukinoa kikosi hicho.

Edna alijiuzuru nafasi hiyo mwishoni mwa mwezi Juni mwaka jana kutokana na uongozi wa klabu hiyo kushindwa kukubaliana na masharti aliyokuwa anayataka katika kuongezewa mkataba mpya sambamba na kuongezwa fungu la usajili.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii