RAIS RAMAPHOSA AKUTWA NA MAAMBUKIZI YA UVIKO19

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, anaendelea na matibabu huku majukumu akiyaacha kwa Naibu Rais, David Mabuza

Inaelezwa kuwa, Rais Ramaphosa ana dalili zisizo kali na alianza kujisikia vibaya Jumapili baada ya kutoka kwenye ibada ya Kumbukumbu ya Rais FW De Klerk, Mjini Cape Town.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii