Mke wangu aliniacha nilipofungiwa kucheza soka na kupoteza umaarufu wangu. Alikuwepo tu kwa ajili ya pesa na umaarufu.” Paul Pogba”“Ni . . .
“Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, imeipa Yanga sehemu ya ardhi yake ha . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amewakosoa baadhi ya viongozi wa Serikali wanaoibuka na kusema kero za wananchi zimeisha kwa kile alicho . . .
WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema hakuna uwezekano wa nchi yake kurejea katika mazungumzo na Marekani kwa sasa, hadi p . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Victor Fransis Thomas (39), mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Kadudu, Kijiji cha Lupaso, Wilaya . . .
Mkutano wa nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo umefunguliwa siku ya Jumatatu hii, Juni 30, huko Seville, nchini Uhispania, huku kukiwa . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeadhimisha miaka 65 ya uhuru siku ya Jumatatu, Juni 30. Wakati wa hotuba yake kwa taifa, Mkuu wa Nc . . .
Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Jacob Rombo amewasihi watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuzingatia maadili ya kutunza siri za Utumishi wa Umm . . .
Leo julai mosi kwenye Kipindi cha MchakaMchaka amesikika Mkuu Usalama Barabarani Wilaya ya Ilemela DTO Kilimbida Thomas Kilimbida na k . . .
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka ya kukizuia Cham . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasis na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akizungumza na wanachama, wafuasi na viongozi mbalimbali wa chama hich . . .
Kiongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Tanga, Mwajuma Mohamed amechukua na kurejesha fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la . . .
Rais mstaafu wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Dkt Elisha Osati amechukua fomu ya kuwania uteuzi kwa ajili ya kugombea ubunge kwenye jim . . .
Askofu Emmaus Mwamakula ameongoza maombi ndani ya chumba cha mahakama kabla ya kuanza kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendele . . .
Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu ambayo imeguswa na mzozo mkubwa wa ukwasi unaohusishwa kwa kiasi kikubwa na . . .
Leo Juni 30,2025, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amekabidhi ofisi kwa mkuu mpya wa mkoa huo Kenan Kihongosi. 8Hivi kar . . .
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema serikali imeamua kubeba gharama za maziko ya watu 39, waliopoteza maisha katika ajali ya b . . .
Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro imeongezeka na kufikia 39.A . . .
Ndege ya abiria ya Batik Air ilinusurika kuteleza wakati wa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, kutokana na hali mb . . .
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Mkuchu, amekamilisha hatua ya awali ya kugombea nafasi ya udiwani kwa kurejesha fomu ya ku . . .
MWANASOKA wa zamani wa timu ya Yanga SC, Ally Msigwa, amejitosa rasmi katika mbio za kisiasa baada ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa . . .
VIGOGO wa maeneo ya kisiasa nchini ambao kwa kawaida wamekuwa wakijivunia ufuasi mkubwa, sasa wapo hatarini kupoteza umaarufu huo kutokana n . . .
NJAA itawasakama wanajeshi kuanzia kesho Julai 1, 2025 baada ya serikali ya Rais William Ruto kuondoa mpango wa chakula cha bei nafuu katika . . .
Siku moja baada ya Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) kumpata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kada wa chama hicho na aliy . . .
Kampuni ya Rasilimali ya Madini Sudan (SMRC) imethibitisha kuwa wachimbaji 11 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na mgodi katik . . .
Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga amelaani vikali wito wa waziri wa usalama nchini Kenya Kipchumba Murkomen kwa polisi kuwafyatuli . . .
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto Biteko amewasili Kigali nchini Rwanda, kushiriki mkutano unaohusu masuala ya nyuklia Afrika. . . .
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Said Shaib Mussa amempokea Waziri wa Mambo ya Nje na U . . .
Rais wa Kenya William Ruto amepuuzilia mbali wito ambao umekuwa ukitolewa na waandamanaji na viongozi wa upinzani kumtaka ajiuzulu na kuwapa . . .
Juni 29, Young Africans watakuwa wenyeji wa Singida Black Stars katika michuano ya Kombe la Shirikisho Tanzania. Mechi itaanza saa 21:15 saa . . .
Mwanazuoni na Wakili Dk Aloys Rugazia ameibuka kwa kishindo baada ya kuchukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Mba . . .
WANAWAKE katika Kaunti ya Taita Taveta wamemtaka Gavana Andrew Mwadime kuomba msamaha kwa matamshi ya kuwadhalilisha.Hii ni baada ya Gavana . . .
WAZIRI wa Huduma ya Umma, Geoffrey Ruku, amekashifu vikali uharibifu ulioshuhudiwa kote nchini katika maandamano ya Gen Z majuzi.Akizungumza . . .
ALIYEKUWA Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i Juni 27,2025 alieleza matumaini yake kuwa atakitwaa kiti cha urais katika uchaguzi mku . . .
BAADA ya siku tano za hekaheka ndani ya Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), msimu wa 28, tamasha hilo litafungwa rasmi kes . . .
ALIYEKUWA Mbunge wa Iringa Mjini kwa miaka 10, Mchungaji Peter Msigwa, amechukua fomu kuwania ubunge Iringa Mjini—safari hii akitokea . . .
Fadhili Fabian Ngajilo, mwanasiasa mwenye rekodi ya utumishi wa muda mrefu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo amechukua rasmi fom . . .
Mwandishi wa habari mwandamizi wa habari za uchunguzi aliyejikita kutetea haki za binadamu, Cosmas Makongo amechukuwa fomu ya kuwania . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, imemhukumu Shabani Mohamed (27), mkazi wa Mchangani, kifungo cha maisha gerezani b . . .
Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imemuhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Hassan Ntakula (70), Mkazi wa Kijiji cha Ngalinje baa . . .