Kijiji cha Spruce Creek Fly-In Florida ni eneo la kipekee ambapo wakazi wake wengi wanamiliki ndege binafsi.
Makazi yamejengwa kuzunguka uwanja wa ndege wa futi 4,000 na nyuzi nyingi zina majengo ya kuhifadhia ndege yaliounganishwa na gereji kuruhusu wakazi kuendesha ndege moja kwa moja kutoka nyumbani.
Barabara za kijiji hutumika pia kama njia za ndege na kufanya kuona ndege karibu na makazi kuwa jambo la kawaida.
Kijiji hiki kinaonyesha mtindo wa maisha wa kipekee unaojumuisha usafiri wa anga huduma za kifahari na ulinzi wa kutosha.
#10YrsJembefm #Familiamoja #AhsantekwaTime