Anaandika Peter Msigwa baada ya Humphrey Polepole kuvamiwa na wasiojulikana nyumbani kwake Dodoma,
"Kilichotokea nyumbani kwa polepole hakikubaliki hata kidogo, hawa wote waliohusika wakamatwe na wachukuliwe hatua, polisi kazi yenu ni kulinda raia na mali zao"