Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Brazil.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akimuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Brazil leo tarehe 06 Desemba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii