Newcastle United yaonyesha nia kumtaka Jesse Lingard

Newcastle United imeanza kuonesha nia ya kumtaka kiungo wa Uingereza Jesse Lingard katika dirisha dogo la Januari, mchezaji huyo mwenye miaka 28 kandarasi yake inataraji kuisha katika kipindi cha kiangazi.

 

Mkurugenzi wa zamani wa michezo wa Chelsea Michael Emenalo ameitupilia mbali ofa ya kuwa mkurugenzi wa mpira ndani ya Newcastle.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii