logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Top Story
  • Na Suzuki
  • December 13, 2021

hafla ya Utiaji saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini.

Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma, ikitumbuiza katika hafla ya Utiaji saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini.Mgeni rasmi katika hafla hiyo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa T . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 12, 2021

Samia ashangazwa na askari aliyesifia gongo

Rais Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na kitendo cha askari polisi aliyevalia sare ya jeshi hilo akiisifu gongo.Akizungumza leo wakati wa ufungaji wa mafunzo ya kozi ya uofisa ya chuo cha taaluma cha . . .

Afrika
  • Na Gsengo
  • December 11, 2021

Magaidi washambulia Msikiti na kuua Waislamu 16 waliokuwa wakisali nchini Nigeria

Watu wenye silaha wamevamia kijiji kimoja cha kaskazini mwa Nigeria na kuua Waislamu 16 waliokuwa wanasali ndani ya Msikiti na kuteka nyara watu wengine wengi.Mkuu wa serikali ya kijiji hicho cha Ba'a . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 11, 2021

Wanajeshi wa Burkina Faso na Niger waua wapiganaji 100

Serikali za Burkina Faso na Niger zimetoa taarifa ya pamoja inayosema kwamba majeshi yake yameua wapiganaji wa kiislamu 100 katika oparesheni ya wiki mbili.Hakuna ripoti huru kudhibitisha madai hayo a . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

PAKISTAN IMEWAACHIA HURU WAFUNGWA 100 WA TALIBAN

Mamlaka Nchini Pakistan Imewaachia Huru Takriban Wafungwa 100 Wa Kundi La Taliban Nchini Humo Linalojulikana Kama Tehreek-e-taliban Paksitan TTP Kama Sehemu Ya Mapatano Na Kundi Hilo La Wanamgambo.&nb . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

TANZANIA NA KENYA IMEONDOA VIKWAZO VYA KIBIASHARA

Tanzania Na Kenya Imeondoa Vikwazo Vya Kibiashara 46 Kati Ya 64,Hayo Yameelezwa Na Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hasan Katika Zoezi La Utiaji Saini Mkataba Na Makubaliano Na Ke . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

JAMII IMETAKIWA KUKEMEA UKATILI WA KIJINSIA

Jamii Imetakiwa Kuendelea Kukemea Ukatili Wa Kijinsia Unaojitokeza Ili Kukuza Kizazi Chenye Usawa Wadau Wa Kupinga Ukatili  Wameeleza Hayo Jijini Dar Es Salam Ikiwa Leo Ni Hitimisho Katika S . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 10, 2021

Jeshi la Polisi Tanzania lateketeza silaha haramu 5, 230

Jeshi la Polisi Tanzania limeteketeza silaha 5,230 haramu zilizokamatwa katika kipindi cha miaka miaka minne kuanzia mwaka 2018 hadi Oktoba 2021.Zoezi hilo limefanyika leo Ijumaa Desemba 10, 2021 kati . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

MAWAKILI WAZINGATIE MAADILI

Jaji Mkuu Wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Amewakumbusha Mawakili Kuzingatia Maadili Na Viwango Katika Nyakati Hizi Za Utandawazi Na Ushindani Jaji Mkuu Ameyasema Hayo Katika Sherehe Ya Miak . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

VYEMA KUTAMBUA MSINGI WA TAIFA HILI

Mkuu Wa Mkoa Wa Simiyu David Kafulila Amewataka Wananchi Kutambua Msingi Mkubwa Wa Taifa Hili  Ni Katika Kuzingatia Utu Na Usawa Ameeleza Hayo Katika Kongamano La Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya Uhuru . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 10, 2021

JAMII IMEASWA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

Jamii Imeaswa Kuwa Mstari Wa Mbele Katika Kupiga Vita Ikiwemo Kuwalinda Watoto Wenye Mahitaji Maalum Dhidi Ya Vitendo Vya Ukatili Ili Waweze Kuwa Na Ustawi Bora Kama Ilivyo Kwa Watu Wengi.Rai Hiyo Ime . . .

Afrika
  • Na Jembefmtz
  • December 10, 2021

Wavuvi, wakulima na wafugaji wazozana - Cameroon

Mapambano kati ya wakulima, wafungaji na wavuvi kutokana na uhaba wa maji kwenye mpaka wa kaskazini mwa Cameroon karibu na Chad yanasemekana kuongezeka sana katika siku za karibuniMaafisa wa serikali . . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

HAKUNA PESA YA NYONGEZA UJENZI WA JNHPP.

Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema mradi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ( JNHPP ) utakamilika bila ongezeko la gharama za ujenzi kwa sababu fedha zilizotolewa zinatosha.†. . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

RAIS KENYATTA KUWA MGENI RASMI SHEREHE ZA UHURU.

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara zita . . .

Kitaifa
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

SAMIA KUHUTUBIA TAIFA LEO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano  Desemba 8, 2021 saa 3:00 usiku, atalihutubia taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari.  . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

Zaidi ya watu 100 wameuawa kufuatia mapigano ya kikabila katika jimbo la Dafur Magharibi nchini Sudan.

Mapigano kati ya Waarabu na wapiganaji wa Kiafrika kutoka jamii ya Masalit inayoungwa mkono na waasi wa zamani yamekuwa yakiendelea kwa siku kadhaa sasa. Mapigano katika eneo la Kreinik yamesababisha . . .

Afrika Mashariki
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

Wachimbaji wa Madini watatu Wamepatikana Wakiwa Hai Siku sita Baada ya Kunaswa Shimoni.

Wachimbaji   watatu waliokuwa wamenaswa kwa siku sita shimoni Nchini Kenya  eneo la Abimbo huko Bondo, kaunti ya Siaya, wameokolewa.Kamishna wa kaunti ya Bondo Nchini Kenya  Richar . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Jeshi la Uganda laghadhabishwa na vikwazo vya Marekani dhidi ya mkuu wake wa ujasusi

Jeshi la Uganda limelalamikia vikwazo vya kifedha vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Meja Jenerali Abel Kandiho, mkuu wa ujasusi wa kijeshi wa nchi hiyo.Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda lilisema k . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Marekani yamuwekea vikwazo Jenerali wa jeshi la Uganda

Wizara ya fedha ya Marekani imemuwekea vikwazo mkuu wa idara ya ujasusi wa jeshi la Uganda, Meja Jenerali Abdel Kandiho, kwa shutuma za ukiukwaji wa haki za binadamu zilizofanyika chini ya uangalizi w . . .

Kitaifa
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Serikali mbioni kuvifungulia vyombo vya habari

Serikali imesema ipo mbioni kuvifungulia vyombo vya habari ambavyo bado vimefungiwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yanayoendelea hivi sasa baina ya mamlaka na wahusika.Kauli hiyo imetolewa leo Juma . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Mshukiwa wa mauaji ya mwandishi wa habari akamatwa

Mwanaume mmoja raia wa Saudi Arabia anayeshukiwa kuhusika na mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi amekamatwa nchini Ufaransa, ripoti zinasema. Khaled Aedh Al-Otaibi alikamatwa katika uwanja wa n . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Siku za kufanya kazi zapunguzwa UAE

Umoja wa falme za kiarabu umepunguza siku za kufanya kazi hadi siku nne na nusu.Wikendi kwa wafanyakazi itakuwa inaanza jumamosi hadi jumapili, badala ya ijumaa hadi jumamosi, ilivokuwa awali.Wiki ya . . .

Afrika Mashariki
  • Na Suzuki
  • December 7, 2021

MGOMBEA URAIS NCHINI KENYA AMEAHIDI MIKOPO KWA WATAKAOOANA.

Mtia nia wa kugombea urais nchini Kenya ameahidi kutoa mikopo yenye thamani ya kati ya TZS milioni 10 hadi TZS milioni 20 kwa wanandoa wapya endapo atachaguliwa katika ofisi hiyo ya juu zaidi nchini h . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Tanzania yafunga kambi ya wakimbizi wa Burundi.

Kambi ya Mtendeli, moja ya kambi tatu za Tanzania zinazohifadhi wakimbizi wa Burundi imefungwa kabisa, baada ya zaidi  ya wakimbizi elfu 19 wa mwisho waliokuwa  katika  kambi hiyo kuham . . .

Afrika
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Ramaphosa awasihi wakaazi nchini Afrika kusini kupata chanjo ya COVID-19

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika kusini alisema nchi hiyo sasa ina vifaa vya kutosha vya chanjo, chanjo ni muhimu kwa ajili ya kufufua uchumi wetu kwa sababu watu wengi zaidi wanavyochanjwa maeneo mengi . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Marekani na washirika wake wanalaani serikali ya Ethiopia kuwashikilia wakaazi kwa misingi ya kabila

Taarifa hiyo ya pamoja iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje Marekani ilisema Australia, Canada, Denmark, Uholanzi na Uingereza waliungana na Marekani kuitaka serikali ya Ethiopia ikomeshe mara moja k . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Mkuu wa Gereza Afungwa kwa Kuiba Fedha za Mfungwa - Rwanda

MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela aliyekuwa mkuu wa gereza kuu la Kigali kwa kuiba fedha kutoka katika akaunti ya mfungwa, raia wa Uingereza.Innocent Kayumba amehukumiwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Olaf Scholz wa Ujerumani ateua baraza la mawaziri la kwanza lenya usawa wa kijinsia

Usawa ni muhimu kwangu na ndio maana kati ya mawaziri 16 kutakuwa na wanaume wanane na wanawake wanane alisema Scholz ambaye anajieleza mwenyewe kama mtetezi wa haki za wanawa . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Polisi wa Sudan wafyatua mabomu ya kutoa machozi kwa waandamanaji

Waandamanaji hao waliandamana kutoka wilaya mbalimbali za mji mkuu, wengi wakiwa wamebeba bendera za taifa na wakiimba “Hapana kwa utawala wa kijeshi” na "jeshi linaweza kukusaliti, lakini mi . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

Papa Francis asema "ustaarabu umwekwenda mrama" kwa kuwapuuza wahamiaji - Lesbos

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis leo amekitembelea kwa mara nyingine kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki eneo ambalo lilikuwa kitovu cha wimbi la wahamiaji miaka 6 iliyopita na kuitaja ta . . .

Kurasa 122 ya 123

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 8 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 8 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 9 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode