Jamii Imetakiwa Kuendelea Kukemea Ukatili Wa Kijinsia Unaojitokeza Ili Kukuza Kizazi Chenye Usawa
Wadau Wa Kupinga Ukatili Wameeleza Hayo Jijini Dar Es Salam Ikiwa Leo Ni Hitimisho Katika Siku 16 Za Kupinga Ukatili Wa Kijinsia.
Wameeleza Kuendelea Kutoa Elimu Kwa Jamii Ili Kuwa Na Uelewa Zaidi Juu Ya Madhara Ya Ukatili Huo Wa Kijinsia