Mamlaka Nchini Pakistan Imewaachia Huru Takriban Wafungwa 100 Wa Kundi La Taliban Nchini Humo Linalojulikana Kama Tehreek-e-taliban Paksitan TTP Kama Sehemu Ya Mapatano Na Kundi Hilo La Wanamgambo.
Duru Za Pande Zote Mbili Zimearifu Hii Leo, Duru Hizo Zimesema Kuwa Pande Zote Mbili Zimekuwa Katika Mazungumzo Na Kuingia Katika Makubaliano Ya Mwezi Mmoja Ambayo Muda Wake Umekamilika Mnamo Desemba 9.
Afisa Mmoja Wa Serikali Katika Jimbo La Peshawar, Amesema Kuwa Wafungwa Hao Takriban 100 Wameachiwa Huru Katika Muda Wa Siku 10 Hadi 15 Zilizopita.