Jaji Mkuu Wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Amewakumbusha Mawakili Kuzingatia Maadili Na Viwango Katika Nyakati Hizi Za Utandawazi Na Ushindani
Jaji Mkuu Ameyasema Hayo Katika Sherehe Ya Miaka 65 Ya Kuwakubali Na Kuwasajili Mawakaili Wapya Jijini Dar Es Salam Leo
Amesema Changamoto Moja Ya Wakili Asiyekuwa Na Maadili Anaweza Kusababisha Dunia Nzima Kuichafua Taaluma Hiyo
Nae Mwanasheria Mkuu Wa Serikali Mh. Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi Amekumbushwa Kufuata Sheria Ya Kuwatoza Ada Wateja Wao Mahakamani Kwa Mujibu Wa Sheria
Amesema Kumekuwa Na Malalamiko Mengi Kutoka Kwa Wateja Kuhusu Viwango Wanavyotozwa Na Mawakili Katika Kusimamia Kesi Zao
Rais Wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika TLS, Dr. Edward Hosea Amesema Chama Hicho Kinaendelea Kuchukua Hatua Mbalimbali Ikiwa Ni njia Ya Kuboresha Huduma Zinazotolewa Na Sekta Hiyo Na Kudhibiti Malalamiko Ya Wateja Kujitokeza
Jumla Ya Mawakili Wapya 313 Leo Wametambulika Na Kulingana Na Chama Cha Wanasheria Tanganyika TLS Mpaka Kufikia Leo Kuna Jumla Ya Mwakili 1745 Katka Kitabu Cha Amawakili Wa Huku Chama Hicho Kinawanachama Zaidi Ya Elf 10