Mkuu Wa Mkoa Wa Simiyu David Kafulila Amewataka Wananchi Kutambua Msingi Mkubwa Wa Taifa Hili Ni Katika Kuzingatia Utu Na Usawa
Ameeleza Hayo Katika Kongamano La Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya Uhuru Lililofaniyka Mjini Bariadi Na Kuhudhuriwa Na Wananchi Pamoja Wanafunzi
Ameeleza Vyema Kuzingatia Yale Waliyoyasimamia Wasisi Wa Taifa Hili Kwaajili Ya Maendeleo Ya Taifa Kijumla
Aidha Mada Mbalimbali Zikatolewa Na Wadau Katika Kongamano Hilo Ikiwa Ni Pamoja Na Uzalendo Ujamaa