Jamii Imeaswa Kuwa Mstari Wa Mbele Katika Kupiga Vita Ikiwemo Kuwalinda Watoto Wenye Mahitaji Maalum Dhidi Ya Vitendo Vya Ukatili Ili Waweze Kuwa Na Ustawi Bora Kama Ilivyo Kwa Watu Wengi.
Rai Hiyo Imetolewa Na Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Tanga Safia Jongo Wakati Akitoa Msaada Wa Vifaa Mbalimbali Kwa Makundi Ya Watoto Wenye Mahitaji Maalum, Wazee Na Wafungwa Jijini Hapa Ikiwa Ni Sehemu Ya Maadhimisho Wa Siku 16 Za Kupinga Ukatili Wa Kijinsia Kwa Watoto.
Nao Baadhi Ya Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalumu Waliopatiwa Vifaa Hivyo Wameshukuru Msaada Huo Huku Wakieleza Bado Kunachangamoto Zinazowakabili