TANZANIA NA KENYA IMEONDOA VIKWAZO VYA KIBIASHARA

Tanzania Na Kenya Imeondoa Vikwazo Vya Kibiashara 46 Kati Ya 64,
Hayo Yameelezwa Na Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hasan Katika Zoezi La Utiaji Saini Mkataba Na Makubaliano Na Kenya Ikulu Jijini Dar Es Salam.


Rais Samia Amesema Mbali Na Mafanikio Wamebaini Bado Kuna Changamoto Ambazo Zitatatuliwa Na Mawaziri Wa Biashara Wa Pande Zote Mbili, Pamoja Na Mambo Mengine Wamekubaliana Kushirikiana Katika Vitendo Vya Kiuhalifu Vinavyovuka Mipaka

Nae Rais Wa Jamuhuri Ya Watu Wa Kenya Uhuru Muigai Kenyata Amemshukuru Rais Samia Na Watanzania Kijumla Kwa Mapokezi Hayo Na Ameeleza Kuendelea Kushirikiana Na Tanzania Katika Kuinua Hali Ya Uchumi Wa Wananchi Katika  Pande Zote Mbili


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii