logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Burudani

  • Pata Habari Zote Za Burudani Hapa
news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 5, 2023

Faiza Ally " Watoto Wangu Hawana Ujinga wa Familia Mlizo Toka za Kishamba"

Trust me watoto wangu wana mambo mengi ya kujifunza duniani zaidi ya kuja kushangaa  nguo za ndani za mama Yao . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 2, 2023

Diamond aomba Mtoto wa Hawa aitwe Nasibu

Usiku wa kuamkia leo katika Hoteli ya Ramada, staa mkubwa wa Bongofleva, Diamond Platnumz amefanya bonge moja la shoo ambayo ilisheheni ubunifu wa hali ya juu, na kukonga . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 30, 2022

Nick Cannon Azidi Kuishangaza Dunia..Apata Mtoto wa 12

Muigizaji na mchekeshaji hodari kutoka nchini Marekani ambaye pia ni mtangazaji wa televisheni Nicholas Scott Cannon maarufu Nick Cannon na mrembo Alyssa Scott wamebariki . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 29, 2022

Wiki Kadhaa Sasa Kanye West Hajulikani Alipo

Kupitia nyaraka za mahakama zilizodakwa na mtandao wa Radar Online, rapa Kanye West 'YE' ametajwa kutoonekana na haijulikani yupo wapi kwa wiki kadhaa sasa na hata kw . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • December 28, 2022

Nay wa Mitego atoa nyongo Kwa Babu Tale na Salam SK

Msanii wa bongo fleva Nay wa Mitego amewaomba wasanii wenzake waache kulalamika sana."Hivi Msanii Unaanzaje Kulaumu Kutokuwepo Kwenye Top Ten Ya Mtu Kama Sallam Au Babuta . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • December 27, 2022

Alikiba avunja ukimya kwa Sallam Sk na Babu Tale

I think mmeshajulika kama nilazima mchokenolewe, Ndio mfunction ,ili jambo lenu liende . Nilitamani kumwambia Njomba kimbulu asiwachokunoe maana mtakua mmekamilisha male . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 19, 2022

Mkeka wa Drake wachanika

Rapper Drake ameliwa kiasi cha dola za kimarekani milioni moja katika mchezo wa betting baada ya kuipa ushindi Argentina kuifunga Ufaransa ndani ya dakika 90.Staa huyo wa . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 13, 2022

Mrisho Mpoto Aondoka Nchini Kuelekea India Kutumbuiza Kwenye Tamasha

Mwanamuziki wa nyimbo za asili na uhamasishaji nchini Tanzania, Mrisho Mpoto ameondoka nchini  pamoja na bendi yake kuelekea nchini India katika tamasha kubwa la kid . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 13, 2022

Kundi la muziki la Navy Kenzo Waomba Radhi Kisa Mavazi

Kundi la muziki la Navy Kenzo limeomba radhi kufuatia kadhia iliyotolewa na mavazi ya wacheza show wao kwenye jukwaa la Fiesta jijini Dar es salaam, Dec 03, 2022."Tunaahi . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • December 7, 2022

D’banj Akamatwa Kwa Ufisadi

Tume Huru ya Mienendo ya Ufisadi na Makosa Mengine Yanayohusiana, (ICPC) imemkamata na kumweka kizuizini Msanii kutoka Nchini Nigeria @iambangalee ,Mwanamuziki huyo alika . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • December 3, 2022

SHAWBIT AMEKUJA NA EP YENYE MAUMIVU,UPENDO NA FURAHA.

Mtayarishaji wa muziki mwimbaji na na mwandishi wa nyimbo za afro beat ama afro pop adegboye segun maarufu kwajina la shawbit ameachia ep yake ya kwanza kabisa katika muz . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • December 1, 2022

Harmonize Kuanza Kuchajisha Milioni 100 Kwa Anayetaka Collabo Nae

Msanii wa bongo fleva Harmonize ametangaza  kuwa kila mtu ambaye atataka kufanya nae kolabo lazima atoe hela ndipo ataweza kufanya kolabo.Ikiwa baadhi ya wasani . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 30, 2022

Hatimaye Talaka ya Kanye West na Kim Kardashian Yakamilika

Hatimaye mastaa Kanye West (YE) na Kim Kardashian mchakato wao wa Talaka umekamilika Jumatatu hii, wameripotiwa na TMZ kufikia maridhiano ya Talaka huku Kanye West atatak . . .

news
TAMASHA
  • Na Asha Business
  • November 28, 2022

Wizkid ashinda tuzo kwa wasanii Afrika

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Wizkid ndiye mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi kuliko msanii mwingine yoyote Barani Afrika. Kwa mujibu wa Africa Facts Zone, Wiz . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

Amber Lulu Ndoa Yanukia

Msanii  wa muziki wa Kizazi Kipya Amber Lulu ambaye hatimaye ametangaza jambo zito, amesema ndoa yyake inanukia.Amber Lulu ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

JAY MOE MUZIKI WA AMAPIANO KWAKE SIO DILI.

Msanii wa bongo rap Jay Moe akataa kufanya muziki aina ya amapiano kulingana na kuwachanganya mashabiki.msanii huyo ameeleza kuwa  wasanii wa rap pindi wanaporap kwe . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • November 3, 2022

YOUNG JEEZY ACHUKIA NENO "OG"

Msanii wa Hip Hop Young Jeezy wa Marekani amekataa kutumia neno "OG" kulinganana na maana ya neno hilo. Neno OG maana yake ni ORGINAL GANGESTER  na neno hili hata bo . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 2, 2022

Cheed na Killy wako huru sasa

Wasanii wa bongo fleva killy na cheed wamethibitisha leo kupitia insta story zao kuwa wako huru kwa sasa kutokana na suala mikataba yao amabayo ili kua na utata na wameel . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 1, 2022

Wafanyakazi Tisa Mbaroni Kifo cha Mtoto wa Davido

Baada ya kifo cha mtoto wa Davido Watu 9 washikiliwa akiwemo Mpishi wa Mtoto huyo wa Staa ,Ifeanyi ambae amefariki katika Swimming pool ya Nyumbani huko Lagos wanashikili . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

MASHABIKI WAMPANGIA NAMELESS KUPATA MTOTO WA KIUME

Msanii wa Kenya Nameless na mke wake Wahu Kagwi wamebarikiwa kupata mtoto wa tatu wa kike wiki tatu zilizopita na mshabiki wake wakitaka wapate mtoto wa kiume.Moja ya sha . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

KANYE WEST YAMKUTA MAZITO

Makampuni makubwa takribani 5 tayari yamevunja ushirikiano wa kibiashara na Kanye West kufuatia maneno na matamshi yake yenye ukakasi na kudaiwa kujaa chuki na ubaguzi dh . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

Msanii AT aje na jipya tena

AT ambaye ni msanii wa zamani ametoa taarifa rasmi ya kutokulitumia tena jina la AT na sasa akitambulika kwa jina la BEY.Bey @iamthebey ambaye hafanyi muziki wa mduara, k . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 24, 2022

Masha love Amchafua Jimmy Mafufu, KisaMimba

Masha Love kumchafua Muigizaji Jimmy Mafufu. Kiufupi Masha Love alikuwa mchepuko wa Jimmy. Watu hawa Wame-date kwa siri sana, hatimae Mimba ikaingia na hapo matatizo . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • October 18, 2022

SOLEMZO P AIBUKA NA “ISSUES”

Anaitwa Solomon Ogbeide Ambaye Anawakilisha Esan Igueben Katika Jimbo La Edo Huko Nigeria.Solemzo Ni Mwanamuziki Wa Miondoko Ya Afro Hippo Pamoja Na Afro Beat Ambaye Maka . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

Zuchu achaguliwa kutumbuiza tuzo za AFRIMMA

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialzuchu amechakuliwa kuwa mmoja ya wasanii ambao watatoa burudani siku ya utoaji tuzo za AFRIMMA mnamo Novemba 19 mwaka huu katika . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

Foby atoa ya mayoni juu ya Hamisa Mobeto

Msanii wa Bongofleva foby ameamua kutoa ya moyoni mwake kwa hamisa mobetto ambaye hawako sawa hivyo akihitaji wamalize tofauti zao.Foby ametumia insta story yake kumuangu . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 16, 2022

Hamisa Mobeto " Mwanaume Anayenioa Amepata Chombo"

Hamisa Mobeto Hamisa Mobetto ambaye ni mwanamke staa nchini Tanzania anayetajwa kuwa mwenye mvuto kuliko wote kwa sasa ambaye amefunguka na kuungwa mkono kwamba, mwanaume . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 14, 2022

Akon aliwahi kumtumia mdogo wake kwenye show bila mashabiki kujua

Kama uliwahi kuhudhuria onesho lolote la Akon, basi unaweza kuwa ulipigwa na hakuwa yeye bali ni mdogo wake, Abou Thiam. Mwanamuziki huyo na Mfanyabiashara amekiri kuwahi . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • October 13, 2022

MTAYARISHAJI NGULI WA MUZIKI KUTOKA NIGERIA MASTERKRAFTS KUJA NA EP.

Sunday Ginikachukwu Nweke Maarufu Kwa Jina La Masterkraft Mtayarishaji Wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria Ambaye Amefanikiwa Kufanya Kazi Na Wasanii Mbali Mbali Kutoka Nchin . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 13, 2022

Zuchu aingia tuzo za MTV EMA, kipengele kimoja Burna boy, Tems na Ayra Starr na wengine

Zoezi la upigaji kura limezinduliwa rasmi leo kuwapa nafasi mashabiki kuwapigia kura Wasanii na kazi za sanaa ya muziki wazipendazo na kuwezesha ushindi wao kwenye vipeng . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

DJ Khaled atinga studio na Burnaboy

Producer maarufu nchini Marekani na duniani kwa ujumla DJ Khaled amekutana na staa wa muziki barani Africa Burnaboy studio na kurekodi baadhi ya nyimbo wakiwa pamoja.Taar . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

Justina Syokau " Nataka Nifanye Upasuaji Wa Kuongeza Makalio Ili Niwavutia Wanaume kwa Mungu"

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Justina Syokau amefichua mipango yake kuhusu kufanyiwa upasuaji ili kuongeza makalio yake.Mwimbaji huyo alidai kuwa ataanza na upasuaji ujuli . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 10, 2022

Burna Boy Aalikwa Paris Kwenye Party ya Beyonce

 BurnaBoy amealikwa kwenye Private Party ya Beyonce, unaambiwa ni watu wachache sana Wamealikwa kwenye party hiyo. Wangekuwa Ndugu zetu wamealikwa tusingepumua.Hii s . . .

Kurasa 7 ya 12

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • PAMBA JIJI YAISHUSHA DARAJA KAGERA SUGAR, YANGA KAMA KAWAIDA

    • 19 masaa yaliopita
  • TFF Yamfungia Ramadhan Missiru Miaka 6 Na Faini Ya Milioni Tano

    • 22 masaa yaliopita
  • Diddy Akabiliwa Na Mashtaka Mazito Ya Unyanyasaji Wa Kijinsia Na Usafirishaji Wa Watu

    • 22 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode