Rosa Ree" Masta Nigeia Wananijua"

Rapa maarufu Bongo, Rosa Ree amesema muziki wake unasafiri na kuwafikia watu ambao yeye binafsi hakutarajia.


Staa huyo ambaye kwa sasa analea mtoto wake, amesema alipoenda Nigeria alikutana na msanii nguli wa nchini humo, 2Face Idibia maarufu kama 2Baba ambaye alimweleza kuwa huwa anafuatilia muziki wake.

Rosa amesema; "Wakati nimeenda kwenye tuzo za Afrima Nchini Nigeria ilitokea nimekaa karibu na  2Facewakati najitambulisha kwake, aliniambia hakuna haja ya kufanya hivyo kwa sababu ananifahamu sana kupitia kazi zangu zamuziki wa Rap"

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii