Femi One atoa saa 72 za kuombwa msamaha Tanzania

Msanii wa Kenya Femi One ametoa saa 72 za kuombwa msamaha na rappers wa Tanzania ambao wamemdiss kwenye ngoma zao kupitia Challenge aliyoanzisha rapa Khaligraph baada ya kudiss muziki wa HipHop Tanzania.

Femi One amesema wasipompigia simu kumuomba msamaha ataingia studio kurekodi Diss dhidi yao na atawaonesha yeye ni rapa wa aina gani.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii