Kitu ambacho wengi hawakutegemea ni kumuoa mdogo wake @officialalikiba kwenye video moja na @diamondplatnumz wakiimba ngoma ya SUMU ya @officialalikiba ft @marioo_tz
Baada ya video hiyo kusambaa Marioo ameipost na kuandika hiki “inafsi Nawapenda na Kuwaheshimu Brothers wote kwasababu Nyie ndo sababu ya Nafasi yangu
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii