Akaunti ya Youtube ya Alikiba yadukuliwa na Tesla, video zaondolewa na kubakizwa mbili tu

Akaunti ya YouTube ya msanii @officialalikiba inaonekana kuhakiwa na akunti ya jina likisomeka kampuni ya TESLA. Kupitia akaunti hiyo video zote zimefichwa na zimebaki mbili tu huku ikionekana ikiwa live.

Kampuni hii pia iliwahi kuhaki akaunti ya Diamond miaka kadhaa nyuma.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii