Burna Boy hashikiki amechukua tuzo ya BET usiku wa kuamkia leo kwa mara nyingine kwenye kipengele cha best international act.
Kwenye kipengele hicho alikua akishindana na @ayrastarr,@ayanakamura_officiel,@stormzy na wengine.
Wasanii wetu siku hizi wanafeli wapi hata nominations hatuwaoni au ubunifu umekosekana kwa asilimia kubwa ,
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii