Kauli ya Kanye West akimzodoa Cardi B kisa Nicki

Kanye West 'YE' ambaye kuna clips videos zake zimevuja kupitia Documentary yake ya 2018 akiwazungumzia wasanii Cardi B, Nas, Teyana Taylor na Pusha P.


Moja ya clip video iliyovuja amesikika akimchana Cardi B akisema rapa huyo wa kike ni kama mmea amepandwa kujaribu kuchukua nafasi ya Nicki Minaj kwenye Game.

"Cardi B ni mmea, haandiki nyimbo zake za kufoka. Walimweka hapo kujaribu kuchukua nafasi ya Nicki Minaj kimakusudi. Anafikiri ni baraka kutoka kwa ulimwengu, sio baraka za kufurahisha" amesema Kanye West

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii