ROMA:WANANDOA MNAKOSEA KUCHAGUA WASIMAMIZI

Msanii wa muziki wa hiphop kutoka nchini Tanzania ambaye kwa sasa yupo nchini marekani roma mkatoliki ambaye pia anafanya vizuri na wimbo wake uitwao nipeni maua yangu.

Roma ni moja kati ya msanii ambaye mara kadhaa amekuwa akitoa mawazo yake mbali mbali kuhusiana na vitu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikichukua nafasi katika ulimwengu.Kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa ushauri na neno lake hasa kwa watu ambayo wanaingia kwenye ndoa katika zama hizi wengi wao wamekuwa wakichagua wasimamizi kinyume na utaratibu halisi wa wasimamizi na kudai kuwa wamekuwa wakichagua wasimamizi ambao hawatawasaidia katika changamoto za ndoa .
 

 

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii