Kupitia nyaraka za mahakama zilizodakwa na mtandao wa Radar Online, rapa Kanye West 'YE' ametajwa kutoonekana na haijulikani yupo wapi kwa wiki kadhaa sasa na hata kw . . .
Msanii wa bongo fleva Nay wa Mitego amewaomba wasanii wenzake waache kulalamika sana."Hivi Msanii Unaanzaje Kulaumu Kutokuwepo Kwenye Top Ten Ya Mtu Kama Sallam Au Babuta . . .
I think mmeshajulika kama nilazima mchokenolewe, Ndio mfunction ,ili jambo lenu liende . Nilitamani kumwambia Njomba kimbulu asiwachokunoe maana mtakua mmekamilisha male . . .
Rapper Drake ameliwa kiasi cha dola za kimarekani milioni moja katika mchezo wa betting baada ya kuipa ushindi Argentina kuifunga Ufaransa ndani ya dakika 90.Staa huyo wa . . .
Mwanamuziki wa nyimbo za asili na uhamasishaji nchini Tanzania, Mrisho Mpoto ameondoka nchini pamoja na bendi yake kuelekea nchini India katika tamasha kubwa la kid . . .
Kundi la muziki la Navy Kenzo limeomba radhi kufuatia kadhia iliyotolewa na mavazi ya wacheza show wao kwenye jukwaa la Fiesta jijini Dar es salaam, Dec 03, 2022."Tunaahi . . .
Tume Huru ya Mienendo ya Ufisadi na Makosa Mengine Yanayohusiana, (ICPC) imemkamata na kumweka kizuizini Msanii kutoka Nchini Nigeria @iambangalee ,Mwanamuziki huyo alika . . .
Mtayarishaji wa muziki mwimbaji na na mwandishi wa nyimbo za afro beat ama afro pop adegboye segun maarufu kwajina la shawbit ameachia ep yake ya kwanza kabisa katika muz . . .
Msanii wa bongo fleva Harmonize ametangaza kuwa kila mtu ambaye atataka kufanya nae kolabo lazima atoe hela ndipo ataweza kufanya kolabo.Ikiwa baadhi ya wasani . . .
Hatimaye mastaa Kanye West (YE) na Kim Kardashian mchakato wao wa Talaka umekamilika Jumatatu hii, wameripotiwa na TMZ kufikia maridhiano ya Talaka huku Kanye West atatak . . .
Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Wizkid ndiye mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi kuliko msanii mwingine yoyote Barani Afrika. Kwa mujibu wa Africa Facts Zone, Wiz . . .
Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Amber Lulu ambaye hatimaye ametangaza jambo zito, amesema ndoa yyake inanukia.Amber Lulu ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na . . .
Msanii wa bongo rap Jay Moe akataa kufanya muziki aina ya amapiano kulingana na kuwachanganya mashabiki.msanii huyo ameeleza kuwa wasanii wa rap pindi wanaporap kwe . . .
Msanii wa Hip Hop Young Jeezy wa Marekani amekataa kutumia neno "OG" kulinganana na maana ya neno hilo. Neno OG maana yake ni ORGINAL GANGESTER na neno hili hata bo . . .
Wasanii wa bongo fleva killy na cheed wamethibitisha leo kupitia insta story zao kuwa wako huru kwa sasa kutokana na suala mikataba yao amabayo ili kua na utata na wameel . . .
Baada ya kifo cha mtoto wa Davido Watu 9 washikiliwa akiwemo Mpishi wa Mtoto huyo wa Staa ,Ifeanyi ambae amefariki katika Swimming pool ya Nyumbani huko Lagos wanashikili . . .
Msanii wa Kenya Nameless na mke wake Wahu Kagwi wamebarikiwa kupata mtoto wa tatu wa kike wiki tatu zilizopita na mshabiki wake wakitaka wapate mtoto wa kiume.Moja ya sha . . .
Makampuni makubwa takribani 5 tayari yamevunja ushirikiano wa kibiashara na Kanye West kufuatia maneno na matamshi yake yenye ukakasi na kudaiwa kujaa chuki na ubaguzi dh . . .
AT ambaye ni msanii wa zamani ametoa taarifa rasmi ya kutokulitumia tena jina la AT na sasa akitambulika kwa jina la BEY.Bey @iamthebey ambaye hafanyi muziki wa mduara, k . . .
Masha Love kumchafua Muigizaji Jimmy Mafufu. Kiufupi Masha Love alikuwa mchepuko wa Jimmy. Watu hawa Wame-date kwa siri sana, hatimae Mimba ikaingia na hapo matatizo . . .
Anaitwa Solomon Ogbeide Ambaye Anawakilisha Esan Igueben Katika Jimbo La Edo Huko Nigeria.Solemzo Ni Mwanamuziki Wa Miondoko Ya Afro Hippo Pamoja Na Afro Beat Ambaye Maka . . .
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialzuchu amechakuliwa kuwa mmoja ya wasanii ambao watatoa burudani siku ya utoaji tuzo za AFRIMMA mnamo Novemba 19 mwaka huu katika . . .
Msanii wa Bongofleva foby ameamua kutoa ya moyoni mwake kwa hamisa mobetto ambaye hawako sawa hivyo akihitaji wamalize tofauti zao.Foby ametumia insta story yake kumuangu . . .
Hamisa Mobeto Hamisa Mobetto ambaye ni mwanamke staa nchini Tanzania anayetajwa kuwa mwenye mvuto kuliko wote kwa sasa ambaye amefunguka na kuungwa mkono kwamba, mwanaume . . .
Kama uliwahi kuhudhuria onesho lolote la Akon, basi unaweza kuwa ulipigwa na hakuwa yeye bali ni mdogo wake, Abou Thiam. Mwanamuziki huyo na Mfanyabiashara amekiri kuwahi . . .
Sunday Ginikachukwu Nweke Maarufu Kwa Jina La Masterkraft Mtayarishaji Wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria Ambaye Amefanikiwa Kufanya Kazi Na Wasanii Mbali Mbali Kutoka Nchin . . .
Zoezi la upigaji kura limezinduliwa rasmi leo kuwapa nafasi mashabiki kuwapigia kura Wasanii na kazi za sanaa ya muziki wazipendazo na kuwezesha ushindi wao kwenye vipeng . . .
Producer maarufu nchini Marekani na duniani kwa ujumla DJ Khaled amekutana na staa wa muziki barani Africa Burnaboy studio na kurekodi baadhi ya nyimbo wakiwa pamoja.Taar . . .
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Justina Syokau amefichua mipango yake kuhusu kufanyiwa upasuaji ili kuongeza makalio yake.Mwimbaji huyo alidai kuwa ataanza na upasuaji ujuli . . .
BurnaBoy amealikwa kwenye Private Party ya Beyonce, unaambiwa ni watu wachache sana Wamealikwa kwenye party hiyo. Wangekuwa Ndugu zetu wamealikwa tusingepumua.Hii s . . .
Mwimbaji wa muziki toka Kenya, Brown Mauzo yeye kwake umbo la kuvunja chaga sio inshu, ameeleza kwamba atampenda zaidi mke wake Vera Sidika na muonekano huu alionao hivi . . .
Mtengeneza wa Maudhui maarufu nchini Tanzania, ambae amejizolea umaarufu mkubwa Kwenye Mtandao wa Tiktok Pamoja na Instagram Maudhui ambayo yalimfanya ajizolee mashabiki . . .
Mwanadada maarufu Kim Kardashian amefungiwa kwa miaka mitatu kuitangaza na atalipa faini ya dola milioni 1 ili kulipia mashtaka ya serikali dhidi yake ambapo alipendekeza . . .