Staa wa muziki Bongo Alikiba amemjibu Maua Sama kwa kumwambia hakuna mtu wa kumpiga akirudia kusikiliza wimbo wake wa Zai, Utu ya Alikiba na I wish ya Kusah. Kupitia . . .
Huku wakivalia vazi lao la kitamaduni la jamii ya Maasai na kuzungukwa na ng'ombe, nyota wapya wa Tanzania katika mtandao wa TikTok ambao ni ndugu Kili na Neema Paul, wan . . .
WANASEMA kuimba kupokezana! Kila mwaka wasanii wapya huingia kwenye gemu ya muziki wa Bongofleva kama ambavyo wasanii wengine hufulia na kupotea. Na kwa sababu mwaka 2021 . . .
Unapowazungumzia wasanii wanaofanya vizuri kwa namna wanavyoigiza na kuuvaa uhusika kwa sasa, huwezi kuacha kumtaja Godliver Gordian, maarufu Anna wa ‘Juakali’.Godliv . . .
NYOTA wa muziki kutoka WCB, Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya msanii bora wa mwaka barani 2021 barani Afrika kwenye tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zil . . .
Mtunzi na mwimbaji nyota wa miondoko ya Soukous, Koffi Olomide ameachia kibao anachokiita jina la "Chief", akimshirikisha malkia wa Afrobeats kutoka Nigeria, Tiwa Savage . . .
Katika hali isiyotarajiwa, mwimbaji wa Bongofleva, Nandy amedai yeye na mwenzake Zuchu walipata mapokezi na uangalizi mbovu kutoka kwa waandaji wa tuzo za All . . .
WALISEMA muziki ni vita kutokana na kila msanii kujipambania kutoboa na kujitangaza ndani na nje ya Afrika.Harmonize alitoa ya moyoni vita na vikwazo ambavyo anapitia kwe . . .
MWAKA 2021 huo unakaribia kwisha. zimebaki siku 18 kuuambia kwaheri.Wakati watu wataukumbuka kwa mambo mbalimbali yakiwemo ya kuhuzunisha na ya kufurahisha huenda kwa msa . . .
Mwimbaji wa muziki wa Bongo Flebva @ommydimpoz ameipeperusha vyema bendera ya Tanzania baada ya usiku wa kuamkia leo kuibuka mshindi wa kipengele cha Msanii bor . . .
Ilikuwa Kuelekea mwishoni mwa 2019 Harmonize aliamua kuondoka kwenye lebo ya WCB ya Diamond Platnumz akiwa ni msanii wa pili kufanya hivyo baada ya Rich Mavoko . . .
Msanii WizKid atunukiwa tuzo (plaque) ya Nyota wa Mchezo hii ni baada ya kuujaza ukumbi wa 02 Arena kwa siku tatu, ambapo ni Novemba 28, 29 na Disemba Mosi, ukumbi ambao . . .
Msanii Harmonize amekiwasha katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara katika Tamasha la Ibraah Home Coming . . .