KATY PERRY AFUNGUKA UKWELI KUHUSU KUHAMIA KENTUCKY

Msanii wa Muziki katika nchini marekani Karty perry ambaye alitamba sana na nyimbo kadhaa ikiwemo Fireworks na Roar,amevunja ukimya wake kufuatia taarifa zilizokuwa zikivuma kuwa msanii huyo ameamua kuhamishia makazi yake huko katika jimbo la KENTUCKY kusini mashariki mia mto Ohio Huko Marekani.

Akizungumza na chanzo cha habari cha Extra Tv huko marekani karty pery alijibu suala hilo na kusema kuwa:-

"Msiamini kila mnachosikia mimi sijahama bali tu nilikuwa kweli Kentucky kwa takribani miezi Miwili na sababu kubwa ilikuwa ni katika harakati za uandaaji wa filamu na ni moja ya sehemu ambayo nimeipenda sana kwa mama yangu aliishi huko hivyo nilijisikia kama niko Nyumbani ."

Amesema Karty Perry ambaye ameongeza kuwa mashabiki zake watarajie mambo Mengi mkubwa kutoka kwake muda wowote.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii