Msanii wa bongo flave k2ga kutoka kundi la kings music ametangaza kuachia ngoma mpya mchana wa leo. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ametangaza kuachia ngoma ya #RangiRangi.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe