Msanii wa Muziki wa Afro beat kutoka nchini Nigeria ambaye kwa sasa anaendelea kupasua anga ya Muziki akiwa na matarajio mkubwa ya kuendelea kupeperusha bendera ya Muziki kutoka nchini Nigeria.
Apogee Muziki ameachia ngoma Mpya kwa mara nyingine ambayo inafahamika kwa sina la tell them
Wimbo kuu unapatikana katika mitandao yote ya kupakua na kununua miziki.