Kila siku zinazaliwa talanta mpya katika ulimwengu wa muziki na jambo hilo limesaidia kwa asilimia kulwa kuweza kupata ladha ya aina tofauti tofauti katika muziki na hata kleta changamoto na chacha Kubwa nani anweza kufanya maajabu na makubwa.
sasa hit ni Mpya kutoka kwa mrembo ambaye anafahamika kwa jina la ÉRU ambaye ameachia kazi Yake Mpya kabisa inayofahamika kwa jina la For your Feelings.
https://youtu.be/HutuWJdM71Q