T-PAIN ; MICHEZO YA BAHATI NASIBU IMENILIPA PESA NYINGI KULIKO MUZIKI KWA MIAKA MINNE ILIYOPITA.

T pain ni moja kati ya msanii ambaye alitambulika zaidi kwa utumiaji wa uato tune kiasi mabcho kuna baadhi ya watu waliibuka na kuanza kutumia auto tune ndivyo sivyo na hata kufanya soko la muziki huo kufeli kwa kiasi kikubwa.

Licha ya kwamba kwasasa t pain ana page yake ya twitch yenye wafuasi zaidi ya laki nane na elfu arobaini na tano.845k

Sasa t pain ameibuka na kusema haya kuhusu kitita cha pesa ambacho amekuwa akikipata kupitia mchezo wa bahati nasibu tofauti na muziki.