Tiwa Savage apata shahada ya udaktari Uingereza

Msanii wa muziki wa Afrobeats wa Nigeria , Tiwa Savage, amepewa shahada ya heshima ya udaktari kutoka Chuo kikuu alichosomea awalicha Kent nchini Uingereza.

“Tiwa alisoma biashara katika Chuo kikuu cha Kent kabla ya kuanza kazi ya muziki- jambo ambalo linawakumbusha wahitimu wetu leo kufikia kiwa ngo cha kuwa nyota!. “Chuo kikuu kiliandika kwneye ujumbe wake wa na kulikana nao ‘’wanajivuna sana’’.

Tiwa- alianza kazi yake ya muziki akiimba kama muimbaji kwa ajili ya wasanii wengine.

Alikuwa mwanamke wa kwanza kushinda tuzo ya mwanamiziki bora mwanamke wa Kiafrika katika Tuzo za MTV Europe za muziki wa ulaya mwaka 2018.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii