"Maduka yote ya nje ya dawa yanatakiwa kuwa nje umbali wa mita 500 sheria hii niliipitisha kabla sijaondoka Wizarani, maduka yaliyo ndani ya Mita 500 ndani ya Hospitali Nchi nzima tunakwenda kuyaondoa . . .
Norway imesema inajiandaa kuanza majaribio ya Mabasi ya Abiria yasiyokuwa na Dereva ambayo yataanza majaribio kuanzia April 2022,Mabasi hayo yametengenezwa na Kampuni ya Kituruki ya Karsan na yana uwe . . .
Marekani imewaagiza ndugu wa wafanyakazi wa ubalozi wake nchini Ukraine kuondoka nchini humo huku hali ya wasi wasi ikiendelea kungezeka katika kanda hiyo.Wizara ya mambo ya nje pia imetoa ruhusa kwa . . .
Serikali Nchini Cameroon imesema takriban watu 16 wamefariki dunia kwenye Klabu iliyopo Mji Mkuu wa Taifa hilo, Yaounde kufuatia ajali ya moto iliyosababishwa na fatakiKwa Mujibu wa Wizara ya Ha . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepongeza Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania (1984-1985) Dkt. Salim Ahmed Salim kwa kutimiza umri wa miaka 80 leo Januari 23, 2022, pia . . .
Maelfu ya watu waliandamana jana nchini Ujerumani kupinga vizuizi vya kuzuia kuenea kwa virusi vya corona na chanjo za lazima huku makundi madogo yakifanya maandamano kinzaniPolisi inasema zaidi y . . .
Serikali imesema Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Kati ni mojawapo ya wahanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyowasababishia kushuka kwa ufanisi kwenye masomo yao, hivyo kupitia Mpango Kazi wa . . .
Kampuni ya ndege ya Marekani -American Airlines iliyokuwa ikisafiri kutoka Miami kuelekea London Uingereza imelazimika kurudi ilikotoka kwasababu mmoja wa wasafiri wake alikataa kuvaa barakoa, ime . . .
Serikali ya Marekani imesema itasitisha safari za ndege 44 kuelekea China kutoka Marekani zinazofanywa na mashirika ya ndege ya China kujibu uamuzi wa serikali ya China kusitisha baadhi ya . . .
Wananchi wa mkoa wa Rukwa wamepongezwa kwa kujitokeza kupata chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa Korona ambapo hadi kufikia mwezi Januari mwaka huu watu 57,638 wamefanikiwa kupata chanjo hiyo katika v . . .
MUHUDUMU wa nyumba ya kulala wageni ya Peace Lodge iliyoko katika eneo la Matarawe Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambaye jina lake limehifadhiwa anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 23 amekutwa ameku . . .
Kuanzia Februari Nchini Austria, Chanjo kwa Watu wazima itakuwa ni lazima na wote ambao hawajachanjwa watapokea wito wa kuchomwa sindano ya kwanza. Wale ambao hawatajitokeza watatozwa faini baada ya k . . .
erikali imesema, zaidi ya Watumishi wa Umma 180,000 wamepandishwa madaraja ambapo Wilaya ya Nkasi iliyopo mkoani Rukwa imenufaika na promosheni kwa watumishi wake 837 kupandishwa madaraja huku watumis . . .
Wadau wameshuhudia mabadiliko katika bei za Vifurushi vya Intaneti, ikionekana Kampuni za Mawasiliano zimepunguza ukubwa wa Vifurushi vilivyokuwepo awali huku Wananchi wakilalamika kutofahamishwa kuhu . . .
Maafisa Usalama Nchini humo wamesema watu zaidi ya 20 wamefariki dunia baada ya matetemeko ya ardhi yaliyotokea eneo la Magharibi mwa Taifa hiloMatetemeko hayo ya kipimo cha 4.9 na 5.3 yaliathiri Mkoa . . .
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita inatarajiwa kuendelea leo kwa shahidi wa 14 wa upande wa mashataka kuanza kutoa ushahidi.Sabaya n . . .
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango anaondoka nchini hii leo kuelekea Lilongwe, Malawi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Januari 8,2022 amefanya mabadiliko Madogo katika Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu.Rais Samia Sul . . .
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi na mkewe Isaura wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Uviko-19.Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Rais huyo jana Jumatatu Januari 3, 2021 imesema kuwa Rais Nyusi na mkewe w . . .
Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amefariki dunia huku mwingine akinusurika baada ya kunywa dawa ya chanjo ya ng’ombe katika kitongoji cha Imalamakoye Wilaya ya Urambo mkoani Tabora. Mwenyekiti . . .
Wafanyakazi wa uwanja wa ndege nchini Mauritius wamekuta mtoto mchanga wa kiume aliyetelekezwa kwenye chombo cha kuhifadhia taka ndani ya choo cha ndege ya Air Mauritius.Mwanamke mwenye umri wa miaka . . .
Takriban watu sita wameuawa na vijiji kuchomwa moto na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab katika mji wa pwani wa Lamu nchini Kenya.Polisi wamesema wapiganaji waliokuwa na silaha nzito wali . . .
Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdok ametangaza kujiuzulu wadhifa huo baada ya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, ya kupinga makubaliano ya kuongoza Serikali ya Mpito.Hamdok am . . .
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 1 Januari 2022 wameungana na waumini wa kanisa katoliki Parokia ya mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu la Dodoma kus . . .
Wakati Tanzania na baadhi ya nchi kote ulimwenguni ikiwa inahesabu saa kadhaa hadi kufika Januari 1, 2022, kuna nchi na miji tayari wamewasha fataki za 2022. Vilevile kuna miji ambayo huenda ikawasha . . .
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imesema inaendelea na ukaguzi wa mabasi ya kwenda mikoani ili kubaini yanayozidisha nauli na kuchukua hatua. Ofisa . . .
Ikulu ya Marekani imesema Jumatano kwamba Rais Joe Biden atazungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Russia Vladimir Put . . .
Msemaji wa Umoja wa Mataifa Ari Gaitanis amesema Jumatano kwamba Umoja wa Mataifa pamoja na mataifa mengine wanafa . . .
Mahakama ya juu ya Gambia Jumanne imetupilia mbali kesi iliowasilishwa dhidi ya ushindi wa rais Adama Barrow kwa madai kwamba walioiwasilisha hawakufuata hatua za kisheria, kama inavyohitajikaBarrow a . . .