Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 1 Januari 2022 wameungana na waumini wa kanisa katoliki Parokia ya mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu la Dodoma kus . . .
Wakati Tanzania na baadhi ya nchi kote ulimwenguni ikiwa inahesabu saa kadhaa hadi kufika Januari 1, 2022, kuna nchi na miji tayari wamewasha fataki za 2022. Vilevile kuna miji ambayo huenda ikawasha . . .
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imesema inaendelea na ukaguzi wa mabasi ya kwenda mikoani ili kubaini yanayozidisha nauli na kuchukua hatua. Ofisa . . .
Ikulu ya Marekani imesema Jumatano kwamba Rais Joe Biden atazungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Russia Vladimir Put . . .
Msemaji wa Umoja wa Mataifa Ari Gaitanis amesema Jumatano kwamba Umoja wa Mataifa pamoja na mataifa mengine wanafa . . .
Mahakama ya juu ya Gambia Jumanne imetupilia mbali kesi iliowasilishwa dhidi ya ushindi wa rais Adama Barrow kwa madai kwamba walioiwasilisha hawakufuata hatua za kisheria, kama inavyohitajikaBarrow a . . .
Madakatari nchini Israel Jumatatu wameanza kutoa chanjo ya nne ya covid 19 kwa watu wake ikiwa kama sehemu y . . .
Meli ya shirika lisilo la kiserikali la Ujerumani Sea-Watch 3, ikiwa na wahamiaji 444, ilikuwa ikingoja kupewa bandari ya usalama kutia nanga baada ya operesheni tano za uokoaji kutekelezwa kati . . .
Waziri wa mambo ya kigeni wa Italy Luigi Di Maio Jumanne wakati akiwa ziarani Tunisia, ameshauriana na rais Kais Sa . . .
Kusimamishwa kwa Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble kunakuja siku moja baada ya Waziri Mkuu huyo kumshutumu Rais Farmajo kwa njama katika uchaguzi wa bungeMzozo wa kisiasa kati ya viongozi wawili . . .
Waziri wa Afya, Ustawi wa jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amepata maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 lakini hali anaendelea vizuri.Akizungumza na Mwananchi kwa njia . . .
Maafisa nchini DR Congo wanasema kwamba takriban watu sita wamefariki katika shambulio la mlipuaji wa kujitoa muhanga katika makahawa uliojaa watu katika mji wa mashariki wa Beni.Maafisa wa polisi wal . . .
WATU wanne wamepoteza maisha baada ya gari la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T 654 DRW walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka katika mteremko wa Kishoju Kata ya Kihanga W . . .
SERIKALI ya Afrika Kusini imetaka kusitishwa kwa mnada wa kuuza funguo za chumba cha jela alichokuwa akiishi hayati Nelson Mandela kwenye jela ya “watukutu” ya Robben Island. Mnada huo uliopa . . .
Rais Joe Biden ameingia madarakani wakati hadhi ya Marekani ulimwenguni ilifikia rekodi ya chini.Katika nchi 60 na maeneo yaliyofanyiwa ukusanyaji wa maoni juu ya Uongozi wa Marekani na kampuni ya Gal . . .
Licha ya mwaka wa pili wa kuwepo kwa masharti ya kusafiri kwa sababu ya COVID -19, mji wa Bethlehem, eneo ambako alizaliwa Yesu, lilifufua sherehe zake za kila mwaka za mkesha wa Krismasi.“Mwaka jan . . .
Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro, Magreth Mashuwe aliyeuwawa na watu wasioju . . .
Tume ya uchaguzi nchini Libya imeagiza kuvunjwa kwa kamati za uchaguzi nchini humo na kutilia mashaka uwezekano wa kuandaliwa kwa uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mnamo Disemba 24.Ijumaa ya Disem . . .
Naibu meya wa mji Cap-Haitien, nchini Haiti Patrick Almonor amesema idadi ya watu waliokufa baada ya lori la mafuta kulipuka wiki iliyopita imeongezeka na kufika watu 90. Naibu huyo wa meya anaho . . .
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akiongea na wazazi na wanafunzi juu ya umuhimu wa kujua kusoma na kuandikaMkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akimkabidhi zawadi ya mwanafunzi wa . . .
Madereva Bodaboda na Bajaji jijini Dar es Salaam, wametakiwa kujiamini na kutambua kuwa wana haki ya kujitafutia riziki kwa njia halali kwa kuzingatia Sheria za usalama Barabarani. &nbs . . .
Picha za mvulana mdogo Mkenya aliyevalia mavazi ya polisi, akiwa na bunduki bandia pamoja na pingu za plastiki, zimevuma sana mitandaoni Mvulana huyo aliyeonekana akielekeza trafiki kwenye mitaa ya Na . . .
Mlipuko mkubwa wa gesi uliotokea leo kwenye mfumo wa majitaka katika mji wa Shershah kusini mwa Pakistan umewauwa watu wasiopungua 12 na kujeruhiwa wengine 11. Msemaji wa polisi ya mji huo Sohail . . .
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kuzingatia kujikinga na Uviko-19 na kwamba ugonjwa huo bado upo hivyo huenda maambukizi yakaongezeka.Aidha katika kuelekea msimu huu wa si . . .
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akiwa anakagua miradi ya majengo ya madarasa kwa ajili ya wanafunzi wanaotarajiwa kuingia kidato cha kwanza mwakani mwezi wa kwanza mwanzoni huku aki . . .
Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, wakati akifunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Afya nchini uliomalizika jijini Dodoma.Watawa kutoka mkoani Arusha, w . . .
Mtoto Leonard Morisha (11), mkazi wa Kijiji cha Ngemo, Mbogwe mkoani Geita, aliyefariki dunia na kuzikwa Juni 27, 2017, anadaiwa kufufuka baada ya Oktoba 2020 kuonekana wilayani Kahama na wazazi wake . . .
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amemtaka mhandisi wa Jengo la abiria katika Uwanja wa ndege wa Mwanza kufika mara moja kurekebisha dosari katika mradi huo wa Sh bilioni 11 ambao uj . . .
Na.WAMJW....DODOMA 14/12/2021Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Dorothy Gwajima ameanzisha utekelezaji wa mfumo wa kukusanya maoni toka kwa watendaji wa taasisi anazosimam . . .