UFAHAMU UGONJWA SEPSIS

Jumanne ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Sepsis.
Sepsis ni ugonjwa unaotishia maisha ambao huathiri mamilioni ya watu kila mwaka. Ugonjwa huu hutokea pale mtu anapopata maambukizi na kadri mwili unavyopambana nayo, badala yake inathiri tishu na viungo. Kwa wanawake wajawazito, watoto wachanga, wazee na watu walio na magonjwa sugu au kinga dhaifu ni hatari sana.

DALILI ZA UGINJWA HUU

1 kuongezeka kwa mdundo wa moyo 2 kuongezeka kwa kasi ya kupumua , na kuchanganyikiwa. 3 kukohoa pamoja na numonia 4 maumivu wakati wa kukojoa 5maambukizi ya figo. Watoto wachanga zaidi, wazee na watu wenye mfumo dhaifu wa kingamwili huenda wasiwe 6 halijoto ya mwili huenda ikawa chini au kuwa ya kawaida wala si ya juu
KISABABISHI
Sepsisi husababishwa na mwitikio wa kinga unaochochewa na maambukizi. Maambukizi haya mara nyingi husababishwa na bakteria, lakini pia yanaweza kusababishwa na kuvu, virusi, au vimelea


hiki ndio kimelea

Kimelea ni kiumbehai ambaye anaishi ndani au juu ya kiumbehai mwingine wa spishi tofauti na kupata virutubishi kutokana na mwili wa kiumbe huyo, ambaye kwa kawaida ni mkubwa zaidi, bila kumpa kiumbe mwenyeji faida yoyote. Kinyume chake, mara nyingi analeta hasara au la.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii