LAAC Yaitimua Halmashauri Ya Biharamulo


Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imewatimua viongozi wa Halamashauri ya Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera baada ya kutekeleza maagizo matatu kati ya 33 walioipatia miaka iliyopita.

Kaimu Mwenyekiti wa LAAC, Seleman Zedi ameyasema hayo leo Jumatano Agosti 31, 2022 wakati wa uchambuzi wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka unaoishia Juni 30, 2021.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii