KIONGOZI wa Kijeshi wa Burkina Faso, Luteni Kanali Paul-Henri Damiba, ameapishwa kuwa rais wa mpito wa taifa hilo. Akiwa amevaa sare za kijeshi, Damiba ameapa kuheshimu katiba katika hafla ndogo il . . .
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Tumaini wilayani Iramba mkoani Singida, amesimamishwa masomo baada ya kubainika kuwa na ujauzito anaodai kupewa na baba yake wa kambo, Abd . . .
Ni kilio cha ubadirifu wa fedha za mikopo inayotolewa na halmashauri kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika maeneo mengi ya nchi.Wakati wabunge wakipigia kelele ubad . . .
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema hakuna mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Kata za Inyala, Itewe, Ilungu na Hifadhi ya Kitulo iliyoko mkoani Njombe. Ameyasema . . .
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na viongozi wa majimbo 16 wametangaza mipango ya kuondoa vizuizi vya kukabiliana na Covid-19 kufikia mwishoni mwa mwezi Machi. Mipango hiyo itashuhudia vizuizi vin . . .
Vyombo vya habari vya serikali ya Syria vimeripoti kuwa Israel imeushambulia kwa makombora mji wa kusini mwa Damascus jana jioni, na kusababisha uharibifu wa mali. Hilo ni shambulio la pili la ang . . .
Marekani imetupilia mbali ripoti za Urusi kuondoa wanajeshi wake mpakani mwa Ukraine na badala yake ikaituhumu Moscow kwa kupeleka wanajeshi zaidi. Afisa mmoja mwandamizi katika Ikulu ya White Hou . . .
Padri mmoja nchini Marekani amejiuzulu utumishi wake wa upadri aliotumikia kwa miaka mingi baada ya kufahamika kuwa amekuwa akiwabatiza watoto kwa kauli tata ambayo imebatilishwa na viongozi wa ka . . .
Richard Nana Sam, mwanamume mmoja kutoka Ghana ambaye alihuzunishwa na matukio ya hivi majuzi yaliyotokea nyumbani kwake aliamua kuyasimula kwenye mitandaoni kwa matumaini ya kupata suluhu.Akisimulia . . .
Mvulana mwenye umri wa miaka 10-ameokolewa saa nane baada ya kukwama katika lori la takataka katika mji mkuu wa Sudan Khartoum.Mvulana huyo aliyetambuliwa na polisi kama Majed Mubarak Ibrahim . . .
Serikali imewataka waajiri na wamiliki wa Vyombo vya habari nchini kuwaajiri waandishi wa habari kwa mikataba maalumu ambayo inampa mwandishi nafasi ya kuingia katika mifuko ya kijamii na kuweza . . .
Waziri wa Nishati Januari Makamba amejibu baadhi ya hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme ambapo amesema suala la hilo limezungumzwa na wabunge, na amesema kuwa hakuna mtu kwenye wizara au TAN . . .
Rais Vladimir Putin amemueleza Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz kuwa Urusi haitaki vita barani Ulaya. Viongozi hao wawili walikutana jana mjini Moscow ikiwa ni juhudi za hivi karibuni za kuepusha . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron leo atakutana na washirika wake wa Ulaya kujadili juu ya ujumbe wa kijeshi nchini Mali. Maafisa wa serikali wamesema Macron atatangaza ikiwa anawaondoa wanajeshi w . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemkamata mfanyabiashara Maila Majula (29), mkazi wa Makongo juu kwa kutoa taarifa za uongo katika kituo cha Polisi Msimbazi kuwa kaibiwa gari. . . .
Wakati hatima ya mazungumzo ya Mkataba wa Nyuklia wa Iran na mataifa makubwa duniani ikiwa haijuilikani, Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett yuko ziarani nchini Bahrain kuimarisha mahusiano bain . . .
Wengi tunamfahamu kama Bambucha jina lake halisi ni Omary Said Babu (59) amewahi kuchez . . .
Wanaastronomia wanasema kwamba sehemu ya roketi iliotarajiwa kugongana na mwezi , mnamo mwezi Machi haikutoka kwa kampuni ya uchunguzi wa anga ya Elon Musk kama ilivyodhaniwa. Badala yake wanaamini . . .
Mwandishi wa habari wa Ethiopia aliyepiga picha ya mvulana akipika jangwani peke yake ilyosambaa kwenye mitandao ya kijamii amezungumzia kisa cha picha hiyo yenye ujumbe mzito.Picha ya Boru Konso . . .
Kesi ya wakili wa Kenya anayetuhumiwa kuwahonga mashahidi wa upande wa mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai (ICC) inaanza Jumanne huko The Hague.Paul Gicheru anakabiliwa na mashtak . . .
Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Mbinga limeazimia kumfukuza kazi mfanyakazi mmoja wa halmashauri hiyo kwa kosa la utoro kazini huku likiwapeleka kwenye kamati ya maadili wafanyakazi . . .
Mgomo wa walimu ambao umeathiri taasisi za elimu nchini Zimbabwe umeingia wiki yake ya pili jana Jumatatu.Serikali imewasimamisha kwa muda walimu wapatao 135,000 kwa kushindwa kuripoti kazini. Wizar . . .
Waziri wa Afya, Mutahi Kagwe anakumbana na hatari ya kufungwa jela miezi sita kwa kudharau amri ya korti iliyomzuia kuruhusu jeshi kusimamia Mamlaka ya Usambazaji Dawa Nchini (KEMSA).Katika malalamish . . .
Hospitali ya Benjamin Mkapa imefanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 26 kuanzia machi 22, 2018 kutoka mikoa mbalimbali nchini na wote wanaendelea vizuri.Hayo yamebainishwa leo na Mkuu wa idara ya . . .
Wanasayansi wanaendelea kutafiti kisayansi kuhusu njia mpya ya uzazi itakayotumika kutengeneza mtoto maabara bila kufuata njia za kawaida za uzazi zinazohusisha ubebaji wa mimba na kuzaa.Njia hii . . .
Wanasayansi na maafisa wa serikali wanakutana leo kukamilisha ripoti muhimu ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinsi ongezeko la joto duniani linavyoyavuruga maisha ya watu, mazingira yao ya asili na saya . . .
Wanajeshi wawili wa Mali wameuawa katika shambulizi linalodaiwa kufanywa na wapiganaji wa jihadi.Shambulio hilo limetokea kwenye kituo cha Niafunké katikati mwa Mali Jumapili asubuhi.Watano kati ya . . .
Waandishi wa habari walipowasili kwa ziara iliyoandaliwa na serikali katika hoteli ya kifahari katika eneo la mapumziko la Cuba la Cayo Guillermo, walilakiwa na kikundi cha densi kilichovalia nguo z . . .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Sheikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan tarehe 13 Februari, 2022 ametembelea Banda l . . .
MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakar Kunenge amezindua Kituo Cha uwezeshaji wa huduma za wawekezaji kituo cha pamoja (One Stop Center). RC Kunenge alisema kuwa Kitengo hicho ki . . .