Waziri Makamba amjibu Msukuma ishu ya Umeme “Huo sio Ubunge, kupanda helkopta’

Waziri wa Nishati Januari Makamba amejibu baadhi ya hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme ambapo amesema suala la hilo limezungumzwa na wabunge, na amesema kuwa hakuna mtu kwenye wizara au TANESCO anayefurahishwa na kukatika kwa Umeme na TANESCO wanafanyakazi mpaka usiku wa manane changamoto kutatua changamoto hizo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii